Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,040
- 3,286
Hiyo show hayupo peke yake wakuu...ni mjumuiko wa artist Kama twenti hivi...
Tupe stori kidogoHizo spectacular show zilifanywa na kanda bongo man pekee kwa Africa na hazitakuja jirudia tena
Hawa WCB wanaona wabongo ni MANDEZI? Hawajui kwamba dunia ipo kiganjani? Dimondi hapa hapa bongo hata akifanya onyesho bure hawezi kujaza shamba la bibi ndio akajaze sehemu ambayo hata hawamjui?Mtawaongopea mandezi
ECOFEST SIERRA LEONE 2019...Using Entertainment sell Sierra Leone to the world and to enhance African Unity.
What clearly was a major break in Sierra Leone and West African Entertainment commenced just over a year ago. The greatest entertainment platform ever...ayvnewspaper.com
NILISHASEMA DIAMOND NI GENIUS WA HUU MZIKI TANZANIA NA SITAKI KUONA WALA KUSIKIA AKILINGANISHWA NA KIKALAGOSI CHOCHOTE HAPA TANZANIA WCB4LIFEDiamond usiku wa kuamkia leo kwa masaa ya huko Siera Leone alikuwa na Show kubwa ambayo ticket zote ziliisha na watu 70,000 walijaza uwanja.
Utakuwa kipofuMbona simuoni Diamond, leta video tuone anavyofanya kazi jukwaani.
Ata wikizid na davido wanapojaza arena 02,wanapewa sifa wao wakati wanakuwa wasanii wengi ok njoo na fact DIAMOND BABA LAO.Hivi hii sio ni kama Burna Boy kaja Fiesta uwanja umejaa mnasema kajaza yeye kumbe kuna wasanii wakali kibao.
DIAMOND BABA LAO ndo amerudia tena njoo na factHizo spectacular show zilifanywa na kanda bongo man pekee kwa Africa na hazitakuja jirudia tena
Sure diamond ni next levelAlafu kuna wachawi wanataka kumfananisha Diamond na vitu vya kipumbavu!
Watapata tabu sana!
Diamond baba laoYule mwingine wana lazimisha ati mkali mondi wa wina yake
Labda kwenye korido la kariakoo hadi wife akamkimbia ahaaaaah Kiba100 ni lizeeKiba alishawahi jaza viwanja viwili vya mpira vya Mashabiki laki kila kimoja kwa usiku mmoja,sema hakutaka camera ziwepo
DIAMOND NDO ALIKUWA MAIN ACT OK YAANI BABA LAO KWENYE HIYO SHOWThe event has been tagged, ‘A night of music festivities and humour’, and will take place after two successful editions in Sierra Leone and the Gambia.
The festival serves as an exchange platform for culture and music. This year's line-up includes Slimcase (Nigeria), Diamond Platnumz (Tanzania), Sophia (the Gambia), Tay Grin (Malawi) and Jose Chameleone (Uganda). They will be joined by local artists Kindo Armani, Richie Obama, Desmond Benya, Yemata, Innocent, K Man, Famous, Arkman, KME All Stars and Star Zee as well as Ghanaians Kuami Eugene and Kidi, among others.
Well-known Nigerian comedian Basket Mouth will host the show.
The third ECOFEST is going beyond West Africa to include Uganda and Tanzania and will bring together artists from 10 African countries for the first time. The festival will also showcase Salone (Sierra Leonean) music with more than 20 local acts.
Acha ushabiki ukweli ni kwamba walioweza kujaza uwanja walikua ni wakina Kanda Bongomani na imebaki historia hapa Africa. Fact soma hapa:-DIAMOND BABA LAO ndo amerudia tena njoo na fact
Ni kweli Diamond ni msanii mkubwa sana kwasasa ila hili la kujaza uwanja ni upotoshaji mkubwa. Eco festival ni tamasha linalohusisha wanamuziki wa jumuiya ya uchumi Africa magharibi ECOWAS, hivyo kulikua na wasanii kibao kutoka nchi mbalimali wanachama. Hata mwaka jana Pantorankin alikuwepo hivyo ni umaarufu wa tamasha ndio umejaza watu.
Hivi ni kwanini hawa jamaa huwa wanakuona NDEZI kiasi hicho?Hawa WCB wanaona wabongo ni MANDEZI? Hawajui kwamba dunia ipo kiganjani? Dimondi hapa hapa bongo hata akifanya onyesho bure hawezi kujaza shamba la bibi ndio akajaze sehemu ambayo hata hawamjui?
Hivi hii sio ni kama Burna Boy kaja Fiesta uwanja umejaa mnasema kajaza yeye kumbe kuna wasanii wakali kibao.
kuna mshamba mmoja yupo tabora huko
DIAMOND BABA LAO NDO KAJAZA ANGALIA PICHA ZILIZOTANGULIAAcha ushabiki ukweli ni kwamba walioweza kujaza uwanja walikua ni wakina Kanda Bongomani na imebaki historia hapa Africa. Fact soma hapa:-
Kila mwaka ipo...kama fiesta hata akienda Dudu baya watu watajaa..ni holiday kwaoDIAMOND NDO ALIKUWA MAIN ACT OK YAANI BABA LAO KWENYE HIYO SHOW