Diamond Platnumz ajaza uwanja unaoingiza watu 70,000 Sierra Leone

Unataka kusema asingekuepo chibu uwanja usingejaa? Mbona mwaka Jana hakuwepo na uwanja ulijaa?
Acha kuropoka mkuu, nakupa home work kajichimbie huko google, katafute data za mwaka Jana na mwaka huu alivoenda diamond alafu ujionee aibu hata kuja kuziweka data hizi humu, pia kuna utofauti wa kujaza uwanja uliopoa na kujaza uwanja uliochangamka, Diamond ndie msanii alieweka rekodi hii sierra leone kwa kufanya vitu viwili kwa mpigo 1.kujaza 2. Kuchangamsha.....hata walioandaa shoo walikiri ya kwamba hawajawahi kuona nyomi la aina ile kwenye ule uwanja.......

Usikaze t*ko sindano isije katikia ndani, legezeni dawa iwaingie vizuri team nyumbu:):) yani Diamond anatuwakilisha vema wa tz lakini kuna visokokwinyo kama wewe hujivunii?? Mnakwama wapi wabongo??, kama huna pointi vua chupi kaa pembeni uende hata hapo Zambia uone wananchi wanavyotamani kuwa na msanii wa kuwawakilisha kimataifa awe hata robo ya diamond.

Diamond anapambana sana kuiwakilisha tz kimuziki maana ndie msanii pekee wa tz anafanya maajabu hata nje ya nchi. Ni kazi ambayo natamani siku moja nchi yetu ipate wasanii kama hawa watatu ili diamond na yeye apumzike madogo wateleze kwenye njia anayoitengeneza Diamond kwa sasa. Kwa sasa msanii anaeweza kumsaidia diamond kituwakilisha ni Harmonize ambae hata clouds FM wamekiri kwamba Dogo hana mpinzani katika orodha ya wasanii ambao nyimbo zao zinapigwa clouds fm
 
Kwa hiyo umekasirika Tale na Chibu kujisifia?

Haya Wizkid show Ya Paris France as Main act,lkn kuna Innoss'B na kama hujui wasanii wa DRC wana kubalika sana France na nchi zote za Anglophone.
View attachment 1282380
Hapa Wizkid akishukuru na akasisitiza Souldout,ina maana alikuwa peke yake?

Ila kwa kuwa kafanya Diamond nongwa.

Naona umempa kubwa kuliko akikujibu nitag.
 
Sijui nani aliwajaza hao watu kila mtu anajisifia kivyake
Screenshot_20191204-130318_Twitter.jpeg
 
Hili nitamasha kiufupi kama fiest tu sio show ilioandaliwa kwajili ya diamond.. tamasha lolote linawateja nikama hilo tamani mikubwa sana linawateja wengi sana kila mwaka linajaza uwanja .. kiufupi kama tamasha la wasafi useme kuwa wizkid ndokajaza viwanja vya posta no ila tamasha la wasafi ndo limejaza uwanja .. angeandaliwa shoo na wasanii wa utangulizi nakujaza hii Africa ingetetemeka nahakuna hata mmoja angepiga uwezo wake ila nitamasha aaah .. kawaida mkuu . Tunajivunia ila sio kwakutufumba macho kihivyoo
Acha kuropoka mkuu, nakupa home work kajichimbie huko google, katafute data za mwaka Jana na mwaka huu alivoenda diamond alafu ujionee aibu hata kuja kuziweka data hizi humu, pia kuna utofauti wa kujaza uwanja uliopoa na kujaza uwanja uliochangamka, Diamond ndie msanii alieweka rekodi hii sierra leone kwa kufanya vitu viwili kwa mpigo 1.kujaza 2. Kuchangamsha.....hata walioandaa shoo walikiri ya kwamba hawajawahi kuona nyomi la aina ile kwenye ule uwanja.......

Usikaze t*ko sindano isije katikia ndani, legezeni dawa iwaingie vizuri team nyumbu:):) yani Diamond anatuwakilisha vema wa tz lakini kuna visokokwinyo kama wewe hujivunii?? Mnakwama wapi wabongo??, kama huna pointi vua chupi kaa pembeni uende hata hapo Zambia uone wananchi wanavyotamani kuwa na msanii wa kuwawakilisha kimataifa awe hata robo ya diamond.

Diamond anapambana sana kuiwakilisha tz kimuziki maana ndie msanii pekee wa tz anafanya maajabu hata nje ya nchi. Ni kazi ambayo natamani siku moja nchi yetu ipate wasanii kama hawa watatu ili diamond na yeye apumzike madogo wateleze kwenye njia anayoitengeneza Diamond kwa sasa. Kwa sasa msanii anaeweza kumsaidia diamond kituwakilisha ni Harmonize ambae hata clouds FM wamekiri kwamba Dogo hana mpinzani katika orodha ya wasanii ambao nyimbo zao zinapigwa clouds fm
Screenshot_20191209-090012_Samsung%20Internet.jpeg
20191209_085925.jpeg
 
Tuwapongeze Vijana wetu hata kama kaalikwa bado amepenyesha Kiswahili na bongo Flavor music to the next level Tunaiandikanhapa wengine hata kusafiri tu kwenda hizo nacho hatujaenda tunajimwambafy nyuma ya key board....hulka ya binadamu ni kuchukua mafanikionya mwenzako Uluru ni kuwa aliyekuzidi hahangaiki na sisi yeye yuko na mambo yake sisi lutes tunamjadili na kumponda.....
 
Back
Top Bottom