Diamond platinumz _ Je utanipenda?

Diamond platinumz _ Je utanipenda?

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Kwa mara ya kwanza Diamond ametoa nyimbo ya aina yake ambayo ukiisikiliza unavuta picha yenye mantiki flani hivi, mi kwa upande wangu naweza kusema kuwa sasa Diamond amekua, namsogeza karibu kabisa na Ali Kiba, kama ni upinzani Ali kiba mwangalie dogo huyo anakuja,
Kwa mda mrefu Ali kiba ameonekana kuwa gumzo kwenye Music wa bongo bila kuwa na mpinzani lakini kwa sasa nathubutu kusema Tanzania Tuna wanamuziki wawili wa bongo Fleva.
youngsharo.mywapblog.com/download-diamond-platinumz_utanipenda.xhtml

Artist: Diamond platinumz.
Song: Je utanipenda?

Tanta lala laaa
La la la la laaaa

Mmmmmh....

Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandalee
Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza madalee
Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree
Umeneja umebaki jina
hanitaki hata Talee

Oooh wale shabiki zangu
walonisifu kwa maneno matamuu
Leo maadui zangu
ni mitusi tu kwa instagramuu

Kimwanaa si dada anguu
eti nae hanifahamu
Hata harmonize nikimpigia ananifokea kama Salaam

Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuagaa..

Utasikia Tafalani eti Mondi kwa Zari amemwagwa
Navyo nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinagaa
Kama naiona michambo ya madem wa zamani nilowapitiaga

Ooh nayosema yana maanaa
Sababu hakuna anaejua kesho
Anaepanga ni Rabanaa
ila ameificha ni confidential
Ukisali omba sanaa
mumeo nisije kuwa kichekesho

Maana rafiki wa jana
aaah
ndioo adui mkubwa wa keshoo


La la la la la laaaaa
au je utanipendagaa?
La la la la laaa
Au nawe utanimwagaa?
La la la la laaaa
Ati utanipendagaa ooh

Ooooh

Ooooooooh..
Bado naiwaza sana
Zile tunzo mashauzi airport
Je itapofika tamaa
Utadiriki hata japo kunipost

Pindi show zimekwamaa
Na nikipata sijahis ni mikosi
Oooh jahazi limezama
Mora ninusulu baba
Kama namuona mwanangu
Roho yangu
Tiffa Dangote
Anakwenda na mama angu
Kwa Jakaya Kikwete wanafukuzwa watoke
Usilie sandra wangu,
Mboni yangu
Jikaze usichoke
Huenda kesho zamu yangu
Nitavuma tena mambo yanyooke

Eeeey
na magazeti ya nyumbani
Kwa kukuza habari si unajuagaa
Utasikia tafalani eti mondi kwa zari amemwaga
yoyoyooo
Navyo nilivyo mnyonge
Tabia ya kuwajibu sinagaa

Kama naiona michambo ya madem wangu wa zamani yaan
He he heeeeee

La la la la laaaaaa (eeeh)
(Ola lala la laaaalaa)
La la la la laaa
(Ooh ola la la laaaa)
La la la la la alaaaa
Eeeh
Ola la la lilaa ooh
I say..

Kama namuona mwanangu
Roho yangu
Tiffa dangote
Ana kwenda na mama angu
Kwa mkubwa Fella anafukuzwa watoke
Usilie sandra wangu
Mboni yangu
Jikaze usichoke
Huenda kesho zamu yangu
Nitavuma tena
Mambo yanyooke(he he heee)

Eiiii

Ola lala lilaa

Oooh bby

(Tudy Thomaas)

Oooooh
Nayosema yana maana
Sababu hakuna anaejua kesho

Anaepanga ni Rabana
Ila ameificha ni confidential

Ukisali omba sana
Mumeo nisije kuwa kichekesho
Maana rafiki wa jana
Ndio adui mkubwa wa kesho

WASAFIIII...
 
naomba link ya huu wimbo Mkuu,nmeutafuta kwa muda bila mafanikio!
 
Hauna tofauti na 21 questions wa 50 cents
 
Kwa mara ya kwanza Diamond ametoa nyimbo ya aina yake ambayo ukiisikiliza unavuta picha yenye mantiki flani hivi, mi kwa upande wangu naweza kusema kuwa sasa Diamond amekua, namsogeza karibu kabisa na Ali Kiba, kama ni upinzani Ali kiba mwangalie dogo huyo anakuja,
Kwa mda mrefu Ali kiba ameonekana kuwa gumzo kwenye Music wa bongo bila kuwa na mpinzani lakini kwa sasa nathubutu kusema Tanzania Tuna wanamuziki wawili wa bongo Fleva.
Download Diamond Platinumz_utanipenda? | young sharo

Artist: Diamond platinumz.
Song: Je utanipenda?

Tanta lala laaa
La la la la laaaa

Mmmmmh....

Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandalee
Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza madalee
Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree
Umeneja umebaki jina
hanitaki hata Talee

Oooh wale shabiki zangu
walonisifu kwa maneno matamuu
Leo maadui zangu
ni mitusi tu kwa instagramuu

Kimwanaa si dada anguu
eti nae hanifahamu
Hata harmonize nikimpigia ananifokea kama Salaam

Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuagaa..

Utasikia Tafalani eti Mondi kwa Zari amemwagwa
Navyo nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinagaa
Kama naiona michambo ya madem wa zamani nilowapitiaga

Ooh nayosema yana maanaa
Sababu hakuna anaejua kesho
Anaepanga ni Rabanaa
ila ameificha ni confidential
Ukisali omba sanaa
mumeo nisije kuwa kichekesho

Maana rafiki wa jana
aaah
ndioo adui mkubwa wa keshoo


La la la la la laaaaa
au je utanipendagaa?
La la la la laaa
Au nawe utanimwagaa?
La la la la laaaa
Ati utanipendagaa ooh

Ooooh

Ooooooooh..
Bado naiwaza sana
Zile tunzo mashauzi airport
Je itapofika tamaa
Utadiriki hata japo kunipost

Pindi show zimekwamaa
Na nikipata sijahis ni mikosi
Oooh jahazi limezama
Mora ninusulu baba
Kama namuona mwanangu
Roho yangu
Tiffa Dangote
Anakwenda na mama angu
Kwa Jakaya Kikwete wanafukuzwa watoke
Usilie sandra wangu,
Mboni yangu
Jikaze usichoke
Huenda kesho zamu yangu
Nitavuma tena mambo yanyooke

Eeeey
na magazeti ya nyumbani
Kwa kukuza habari si unajuagaa
Utasikia tafalani eti mondi kwa zari amemwaga
yoyoyooo
Navyo nilivyo mnyonge
Tabia ya kuwajibu sinagaa

Kama naiona michambo ya madem wangu wa zamani yaan
He he heeeeee

La la la la laaaaaa (eeeh)
(Ola lala la laaaalaa)
La la la la laaa
(Ooh ola la la laaaa)
La la la la la alaaaa
Eeeh
Ola la la lilaa ooh
I say..

Kama namuona mwanangu
Roho yangu
Tiffa dangote
Ana kwenda na mama angu
Kwa mkubwa Fella anafukuzwa watoke
Usilie sandra wangu
Mboni yangu
Jikaze usichoke
Huenda kesho zamu yangu
Nitavuma tena
Mambo yanyooke(he he heee)

Eiiii

Ola lala lilaa

Oooh bby

(Tudy Thomaas)

Oooooh
Nayosema yana maana
Sababu hakuna anaejua kesho

Anaepanga ni Rabana
Ila ameificha ni confidential

Ukisali omba sana
Mumeo nisije kuwa kichekesho
Maana rafiki wa jana
Ndio adui mkubwa wa kesho

WASAFIIII...

iko gd
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom