Diamond platinums: sikomi official video
Mr Q JF-Expert Member Aug 16, 2012 9,962 2,000 Dec 6, 2017 #6 kababae said: Video mbayaa kuliko zote duniani Click to expand... leta ya kwako nzuri
stickvibration JF-Expert Member Feb 7, 2017 3,210 2,000 Dec 6, 2017 #7 Huyu kijana ana TALENT from GOD kabxaa
MSAGA SUMU JF-Expert Member May 25, 2015 5,293 2,000 Dec 6, 2017 #10 Kutokuwa shabiki wa diamond nayo ni adhabu kubwa,namkubali sana.SIKOMI kumsikiliza
tamuuuuu JF-Expert Member Mar 10, 2014 14,438 2,000 Dec 6, 2017 #11 Yoooooooo!!! King kibao Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Ruttashobolwa JF-Expert Member Feb 22, 2012 47,867 2,000 Dec 6, 2017 #12 Hakika katika jamabo mtanzania anaweza kukosea kabisa ni kucmchukia Diamond na kushindwa kupenda anacho fanya...... Hakika Diamond ni zawadi pekee tuliyopewa watanzania....
Hakika katika jamabo mtanzania anaweza kukosea kabisa ni kucmchukia Diamond na kushindwa kupenda anacho fanya...... Hakika Diamond ni zawadi pekee tuliyopewa watanzania....