Diamond Platinums: Hakuna Kiongozi Atakayekuja kukuwekea Pesa Mfukoni na Kumaliza Shida zako. Pambana kivyako kutimiza ndoto zako

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,351
Reaction score
23,758
Ndugu zangu Watanzania,

Huu ni ujumbe mzito kutoka kwa msanii maarufu kwenda kwa watanzania wanaoshabikia upinzani na kudanganywa na maneno hewa ya wasaka tonge na wachumia tumbo wa upinzani au waweza kuwaita wajasiriasiasa..
Screenshot_20250903-195501_1.jpg
Screenshot_20250903-195843_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza
 
Komredi Diamond yuko sahihi. Kuna nyumbu zinadhani kina Mange na Maria wana uchungu sana na nchi kumbe mabeberu kupitia Ford Foundation washawapa mzigo wa kutosha. Hata kina Lema, Heche, Lissu na wapinzani wengine hukutana na wenzao wa CCM kupeana michongo. Wajinga wajinga wafuata mkumbo hata ukiwaelewesha hawataki kuelewa.
 
Diamond ameibuka kimkakati kuzima press ya pole pole some how amefanikiwa hapo wamemlipa vzuri
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huu ni ujumbe mzito kutoka kwa msanii maarufu kwenda kwa watanzania wanaoshabikia upinzani na kudanganywa na maneno hewa ya wasaka tonge na wachumia tumbo wa upinzani au waweza kuwaita wajasiriasiasa..View attachment 3464144View attachment 3464145

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza
yeye anapambana na P diddy
 
Kwahiyo anachomaanisha ni kwamba tusipoteze muda kusikiliza sera zao na jua lilivyo kali kwakuwa wanafanya kazi zao. Pia tusipige kura kwakuwa hawatoweza kutusaidia. Au nimeelewa vibaya mie
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huu ni ujumbe mzito kutoka kwa msanii maarufu kwenda kwa watanzania wanaoshabikia upinzani na kudanganywa na maneno hewa ya wasaka tonge na wachumia tumbo wa upinzani au waweza kuwaita wajasiriasiasa..View attachment 3464144View attachment 3464145

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza
Hongera kwa kula shavu,kwa kupata boss mupya,hapa bila shaka mambo yatakuwa bull bull!
 
Sema kapewa nukuu itumike kwenye page yake

Mtu anaimba vidudufleva wazo la kujua jamii inapitia nini anatolea wapi.!.?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huu ni ujumbe mzito kutoka kwa msanii maarufu kwenda kwa watanzania wanaoshabikia upinzani na kudanganywa na maneno hewa ya wasaka tonge na wachumia tumbo wa upinzani au waweza kuwaita wajasiriasiasa..View attachment 3464144View attachment 3464145

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza
Huyo tunajua alilalwa na yule bazazi wa Kimarekani
FB_IMG_1756906868068.jpg
FB_IMG_1756878690313.jpg
 
Yuko sawa ila anapaswa ajue serikali ina play part kubwa sana wananchi wake wafanikiwe, marekani ya miaka hiyo iliandaa mazingira wamarekani wa miaka hii waishi vizuri na dollar yao, akimaliza kutukumbusha sis awageukie na viongozi wetu

Fullstop, kwishaaaaaa
 
Tuanzishe kampeni ya kumi unfollow na kuifuta nyimbo zake nini mixer kususia show na tena tupewe backup na wakenya..tutumie adui zetu kupambana na adui..hawezi akajiona ye ndo ana kazi peke yake kila mtu anafanya kazi na anastahili posho
 
Back
Top Bottom