Sometimes msahama si lazima mtu akuombe radhi..mbona tunakosewa na kusamehe daily bila kuombwa radh?Asamehewe kwa lipi? Kwani ameomba radhi?
Kusamehewa huja baada ya mtu kuomba radhi, unashauri vipi mtu aanze kusamehewa kabla haujawekeza kwenye kushauri aombe radhi (kwa mujibu wa thread tittle)
Asamehewe kwa lipi? Baada ya kuona mmemshindwa kum-disqualify kwa petition mnaanza tunga asamehewe? Kawaomba msamaha? Huyu kijana aendelee kukaza nati hadi watu wanyooke kama rula...Natambua wazi alijiharibia pakubwa alipojiunga na KAYAFA kupitia kazi zake.. Na niliwahi kuandika uzi kumhusu yeye na Konde boy kwamba kitendo hicho kina athari kisanii huko mbeleni
Kuna ambao walinibeza sana lakini always muda ni hakimu wa haki na kamwe maandishi hayafutiki!
Hapa nisiwazungumzie haters wa kawaida wa Diamond! Huwezi kupendwa na kila mtu wala huwezi kuchukiwa na kila mtu..!!!
Asante Chakaza natambua mawazo yako na kuyathamini .. Unawakilisha wengi tulioumizwa na matendo ya kayafa.. Na ndio maana nikamalizia kwa kumuasa Diamond aombe radhi...AKIPENDA NA AKIJISIKIA LAKINI! Kama hana maono kimo cha mbilikimoKwa mara ya kwanza leo naona nitaenda tofauti na wewe.
Mengi umesema ya kweli, lakini kuhusu kumsamehe itakuwaje asamehewe wakati yeye bado kakomaza shingo hataki kukubali kuwa alitumia umaarufu wake kumuunga mkono mtu aliyekuwa anakandamiza na kuua washabiki wake na Watanzania wengine.
Shida kubwa ya Diamond ni kukosa timu ya washauri wazuri na kuendesha shughuli zake kwa kufuata mirindimo ya Kiki na wapambe mbuzi.
Hivi ndugu yangu Mshana Jr kwani mashambilizi yalipoanza kuhusu BETAwards angejitokeza na kuomba radhi kwa maneno machache;
"Nadhani kuna mahali nilikosea washabiki wangu na wasio washabiki, Nisameheni nawapenda sana" unadhani nani angeendelea kumsema?
Hivyo nami nikiona kejeli kwake nitaishia kucheka tuu kwani bado hajatambua kosa lake na anaendelea na kiburi.
View attachment 1834181
Unatunga tatizo alafu unaomba msamaha...Sometimes msahama si lazima mtu akuombe radhi..mbona tunakosewa na kusamehe daily bila kuombwa radh?
Pole naona umekurupuka usingizini ukakimbilia JFAsamehewe kwa lipi? Baada ya kuona mmemshindwa kum-disqualify kwa petition mnaanza tunga asamehewe? Kawaomba msamaha?
Huyu kijana aendelee kukaza nati hadi watu wanyooke kama rula...
barafuyamoto moto hebu tulia kidogo kitandani mavune ya usingizi yakutoke tutaongea baadaeUnatunga tatizo alafu unaomba msamaha...
Mlezi wa WCB anasemaje?
Natambua wazi alijiharibia pakubwa alipojiunga na KAYAFA kupitia kazi zake.. Na niliwahi kuandika uzi kumhusu yeye na Konde boy kwamba kitendo hicho kina athari kisanii huko mbeleni
Kuna ambao walinibeza sana lakini always muda ni hakimu wa haki na kamwe maandishi hayafutiki!
Hapa nisiwazungumzie haters wa kawaida wa Diamond! Huwezi kupendwa na kila mtu wala huwezi kuchukiwa na kila mtu..!!! Wal
Ukweli mchungu.....Natambua wazi alijiharibia pakubwa alipojiunga na KAYAFA kupitia kazi zake.. Na niliwahi kuandika uzi kumhusu yeye na Konde boy kwamba kitendo hicho kina athari kisanii huko mbeleni
Kuna ambao walinibeza sana lakini always muda ni hakimu wa haki na kamwe maandishi hayafutiki!
Ulikuwa na hoja nzuri sana lakini ukaharibu hapaUkweli mchungu.....
Hapa ni siasa za upande mmoja na chuki za makundi...
Kwa upande wa siasa.
BAVICHA wanashangilia kufeli kwa Almasi.
Ila... Almasi ingekuwa upande wa BAVICHA , hizi kelele zingekuwa za makundi tu (Team sijui nani.....).
Nafahamu kuwa, kukemea kilicho kibaya si lazima uwe na chama bali position ulinayo kwenye jamii inatosha.
Tanzania ina mastaa wengi, na ukiacha Ney wa mitego na Roma, hakuna mwingine aliwahi kukemea uovu.
Ila angalia kilicho mkuta Roma, na raia wote waliufyata. Roma hadi leo anarukaruka tu..(rudi home Roma).
Angalia kilicho mkuta Ney, bahati yake Hayati alimtetea, ila angekaza mda huu Ney angekuwa kwenye list ya wafungwa walio samehewa na Samia.
Yote hayo na mengine mengi yalitokea ila kwa unafki wetu tulijichimbia majumbani na nyuma ya keyboard tukiandika #AACHIWE.
Maneno bila vitendo ni uoga, na ukijulikana kuwa wewe ni muoga utachezewa tu Kwa sababu utaongea yataisha.
Almasi huo ujinga ndio hataki kabisa, na sio almasi tu bali wasanii wengi wako hivyo.
Kwa ufupi tu....
Mazingira hayakumruhusu Almasi kukemea, na hayo mazingira yalitengenezwa na hao wanao hitaji kusemewa.
IKUMBUKWE.
Watanzania ni wanafki, huwa hatuchelewi kumgeuka mtu.
Mlezi wa WCB anasemaje?
Almasi alishapewa tuzo ya kofia na mwendazake,inamtosha Sana hio.Ulikuwa na hoja nzuri sana lakini ukaharibu hapa
BAVICHA wanashangilia kufeli kwa Almasi.
Ila... Almasi ingekuwa upande wa BAVICHA , hizi kelele zingekuwa za makundi tu (Team sijui nani.....).