Diamond na wema wapigana chini tena

Diamond na wema wapigana chini tena

Samahani lakini. Kweni hao kina nani vile? Mana kama majina yao si mageni.
 
Bila diamond na wema jf celebrity forum inapwaya.na huo ndio ukweli
 
Eeeh ndo nakusikia wewe, hata mimi kuna kipindi nilikuwa na post sana kuhusu habari zao humu kwa kudhani watu wanapenda kusikia habar zao tu, ila akina Dinazarde na wengine wakaniambia wamechoka kusikia habar za wema daily wamewakinai hawana mpya, hivyo nitafute story nyingine

Wewe unadhani kutwa ningekuwa na post habar za wema na diamond humu unafikir watu wangekuwa wanakuja kuchangia? Watachangia nini wakat kutwa upuuzi wao ni ule ule?

Kuna Story nyingi tu za mastaa mbali mbali na ma underground, na ndio maana kila siku watu wanamiminika humu kwa kuwa nina post habari mpya za mastaa mbali mbali nchini na sio wema na diamond tu, labda wewe mwenzangu mgeni, niulize mimi ndo najua na sio unakurupuka tu na kuropoka
 
Last edited by a moderator:

Yaani jf celebrity forum haipiti siku bila post ya diamond na wema.jf politics forum haipiti siku bila post ya zitto kabwe.chunguza hili warumi.na post zote ni za kuwaponda.yaani tz ukipata hela na umaarufu wakati bado kijana wazee waliochoka na maisha full kukuandama
 
Hihihiiiiii, sio kweli mimi ndiye ninayejua , na kama basi ingekuwa kama unavyodhani ili jukwaa lingeitwa wema and diamond forum, na sio celebrities forum.

Hao wasanii uliowataja ndio wasanii maarufu zaidi wanaopenda scandal chafu ili wazidi kufahamika, na sio kweli kama ndio kila siku au kila wakati wanazungumzwa wao tu

Ungekuwa unaandika au kutembelea blogs nyingi kama mimi ndio ungeelewa ila kwa kuwa hujui ndio maana unaongea hivyo, hao wasanii kuwa maarufu hakumaanishi basi ndio wasanii pekee wanaojadiliwa ,sio kweli
 
Yaani jf celebrity forum haipiti siku bila post ya diamond na wema.jf politics forum haipiti siku bila post ya zitto kabwe.chunguza hili warumi.na post zote ni za kuwaponda.yaani tz ukipata hela na umaarufu wakati bado kijana wazee waliochoka na maisha full kukuandama

Jaribu kuangalia vizuri thread zangu humu zilizofanya vizuri kama ni za wema na diamond au lah, hao wasanii wanaandikwa tu endapo kuna jambo jipya baina yao kama mastaa wengine tu, wenyewe wanaongoza kuwa na matukio mengi kila wakati na sio kuwa ndio wasanii wanaofanya jukwaa hili lijae sana
 
Yaani jf celebrity forum haipiti siku bila post ya diamond na wema.jf politics forum haipiti siku bila post ya zitto kabwe.chunguza hili warumi.na post zote ni za kuwaponda.yaani tz ukipata hela na umaarufu wakati bado kijana wazee waliochoka na maisha full kukuandama

Mimi humu ningekuwa nategemea habari za wema na diamond tu ningekuwa nimeshachuja zamani kama sio watu kunichoka, lakini kila siku watu wanatamani kusikia habari mpya za mastaa kutoka kwangu humu, kwa kuwa wanaamini nina habari nyingi za mastaa kutoka either kwenye vyanzo mbali mbali vya habari au mimi mwenyewe.

So kauli yako naipinga mkuu
 
This year no more drama mainly because my saving account shows more commas!! I need commas after my commas!
money-room.jpg
 
Back
Top Bottom