Diamond na Penny

Status
Not open for further replies.

1000 words

Senior Member
Dec 29, 2012
169
31
mmmmmh haya sasa diamond amekiri kua penny ndo atakaekua mrs wake kwan nw anataraj mtoto kutoka kwake kwan penny n mjamzito now na amemnunulia gar ya mil 15 ya kuendea klinik na kwny mizunguko yake,,,, hayaaaa cna comment
 
ngoja yule mpambe wake humu aje atupe habari kamili..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
du,huyo mdada kaamua kujitegeshea kabisa.maana kila anaeonja diomond anapita tu.atulie sasa
 
Siamini na msubiri yule desert atoe taarifa kamili najua ana ifanyia uhariri!
 
eti heaven on desert kwani mimba iliingia lini?
gari lina viti vya kulala?
clinic anaenda lini tena!
ahahahhahhahahhhahha watu na kazi zenu!
IMEKUPITAJEEE HII!?
mi simuamini 1000 words bana!mpka uje wewe hapa ndo ntaamini,unafkir uongo?hakyanani vile siamini mwenzako:nono::nono:
 
Last edited by a moderator:
He need his father to teach him how to be a man regardless that he didn't raise or help him much, he can't learn Everything from his mother, I hope he's going to realize that someday he must reconcile with his father.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom