Diamond na Ommy Dimpoz tuzo za AFRIMMA

G_real

JF-Expert Member
Aug 23, 2019
684
851
Hongera sana Diamond kwa kunyakua tuzo umeendelea kuonesha umwamba wako kwenye muziki. Huyu jamaa inatakiwa aheshimiwe tu ametutoa mbalii saana kimuziki.

Hongera na Ommy Dimpoz best East Africa Male


Screenshot_20191110-210432~2.jpeg
Screenshot_20191110-210529~2.jpeg
Screenshot_20191110-210506~2.jpeg
Screenshot_20191110-210454~2.jpeg
 
Hii tuzo ya Ommy Dimpoz mbona haieleweki

Best East Africa male!!!?

Kwamba hakuna mwanaume kama yeye afrika mashariki
Absolutely no
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom