rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,164
- 43,856
Alikiba kiukweli lazima awe na stress za hali ya juu maana ameshtuka toka usingizini amekuta he is not a King anymore yaani kijana Mondi atamuua kwa stress aisee. Ingekuwa kimarekani hawa jamaa walipofika chuma kingehusika walahi.
Nilichogundua hii bifu Mondi anaitumia kimaslahi zaidi kufanikisha mipango yake kama leo alivosema Harmo na Kiba wanaweza kuwepo kwenye Wasafi Festival alijua lazima watu wajae waki expect suprise ambayo haipo.
Pia diamond ana-act innocent kwenye hili bifu lakini yote ni sababu anafanya vizuri zaidi kuliko Kiba kuanzia uchumi wake pia muziki wake huo ndio ukweli so inferiority complex inamuua Kiba haamini anachokiona. Hili jambo Harmo anaweza kumfanyia Mondi ikawa karma but sio rahisi hata kidogo.
Mfano kweny hichi kipindi cha Block 89 leo wamegawa penseli na karatasi yote hii ni kuendelea kuvuta tension yote iwe kwao. Wimbo wa harmonize UNO ushafunikwa vile wabongo wanaendeshwa na upepo wa matukio balaa!
Hili bifu linaweza likawa na mwisho mbaya kama Ali Kiba atashindwa kucontrol mihemko yake. Mondi anamtumia jamaai kupiga pesa zaidi Kiba yeye ni majungu na kiki tu.