Diamond muonee huruma Kiba

Diamond muonee huruma Kiba

Kiba is our king in music no matter what.
King bila shows na kazi yako muziki aiseee hatari..footballer bila kucheza game nyingi aiseeee hatari..mnamjaza upepo mbaya kijana wa kariakooo......labda kama wamepanga kupiga pesa mond na kiba na PENSELI hii aiseee UNO CHALIIIIIIII
 
kuna watu wawili nchi hii Diamond na mzee wa mniombee ni wanafiki wakubwa saana wana act smart mbele za watu ila behind the scenes ni ma demon tena cannibals
 
Hata mnaochangia huu uzi na kusema domo ni mnafiki ni wanafki pia.

Maana hamuusemi huo unafki wake bali mmekalia kumuita mnafki.

Watanzania watu wa hovyo sana.
 
hata hao mitume wa mungu walitukanwa nakusemwa vibaya na wenye roho mbaya na wivu ulotukuka, bro mondi piga kazi mungu yupo nawe daima, mbinu za kila aina zakukushusha zimebuma now wamegeukia taarab...

oooohhh naunikomee... naunikomee...
 
Najua hapa kuna great thinker wa hatar sana embu fafanueni kati ya diamond na kiba ni penseli gani inayozungumzwa hapa mana wachambuzi wa instagram wala siwaelewi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom