Diamond Mpaka mapodaaa...!!!

Nadhani akili ni Nywele.... Na nahisi kuna watu si tu kuwa wana vipara bali hata vichwa hawana...

You are such a loser. Umeshakufa kabla hata ya kifo chako. Stop spamming.
 
Ahahaha.Jamani sio photoshop hiyo?
Ndiyo yenyewe. Tizama oicha ya kushoto linganisha size ya bega nakiganja kilichoshika sponge ya poda. Bega kubwa. Tizama picha ya kulia chini kabisa kulia utaona source ya picha hiyo. Lakini jamaa kajitahidi kufotoshop.
 
yah.. Lakini kulia ni picha live.... Yakushoto imepigwa editing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…