Tour De France
JF-Expert Member
- Jun 12, 2014
- 345
- 336
wewe ndio babu tale? diamond ndio anapotea wewe unaona kuna haters? wewe unadhani hata video ya thriller ya Michael Jackson ingevunja rekodi kama audio ingekuwa ushuzi mtupu kama hii ya diamond?
hii video kafanya kweli.
Hatari tupu...yani nimeiangalia zaid ya mara tano....
Naona povu linawatoka tu leo, jana mlisema Diamond aimbe mziki wa asili asicopy Nigeria sasa leo kafanya hivyo mnaanza kutapatapa..hahahaha
Usipoteze muda mkuu kubishana na jinga ilo lisilojua muziki,alafu kwa akili yake fupi linadhani linapatia kweli linachokiongea...Linasema muziki wa saida karoli ndio wa kitanzania kwa kuwa nshomile mwenzie,ila wa kizaramo sio wa kitanzania kisa alipendi wazaramo......Alafu linasema management ya diamond mbovu haimshauri vizuri then lenyewe linashauri angefanyia video iyo rufiji kwa milioni 10...ilo linachoweza ni kumsifia slaa tu na mbowe.