Kichwa cha bongo fleva na Rais wa WCB Diamond Platnumz ana kila sababu ya kuwashukuru mashabiki wake. Licha ya kuwa na tabia ya kutoa misaada bila ya kutangaza, wakati huu ameamua kutoa taarifa ili kushawishi ongezeko la pesa itayotumika kutoa msaada
Kwenye ukurasa wake wa facebook ameandika "Wimbo Huu si tu kwajili ya kuburudisha bali ni Kuelimisha na kukumbushana mawili matatu ya dunia... na ndio maana nikaamua kutoa Asilimia Hamsini ya Mauzo nitayoyapata kutoka TIGO na Mkito Kuyapeleka kutoa msaada katika Wodi ya Wazazi na Watoto siku ya Tareh mbili kama moja ya shukran zangu kwa Wazazi na watoto kwa Support yao kwangu.... Tafadhali nisaidie kulifanikisha hilo kwa kuufownload Wimbo huu kwenye Mkito.com na kutuma neno WCB kwenda namba 15050 ili kuufanya wimbo huu kama Muito wa mtu akupigiae....... na ukiwa uko tayali sikuhiyo twende pamoja tafadhali usisite kunijuza.... #UTANIPENDA"
Kwahiyo tuhusike kufanikisha hili:-
=>Mtumiaji wa tigo weka wimbo wa UTANIPENDA muito wa simu anayekupigia asikie kwa kutuma sms ya WCB kwenda 15050
=>Kama hujajimilikisha wimbo download kupitia kupitia link hii https://mkito.com/mobile/song/utanipenda/17744/
Pia angalia wimbo kupitia YouTube
https://youtu.be/q9l2ItDLsUk