Diamond kumsaidia kikwete arusha

Du kama kutumia ARV vile. Kw kweli JK anaishi kwa matumaini
 
kikwete hapendwi, na anajua hapendwi! lakini kang'ang'ana na ikulu utadhani ndio ngozi yake!
 
huyo diamond analipwa kiasi gani kwenda huko arusha...huyu diamond ana dili gani na jk/serikali? maana issues za chama/serikali anaitwaga yeye...mbona a town wana wanamuziki wengi tu kwanini wasiwatumie wao?

Nashangaa sana hii kitu!!! Au ndo mambo ya Obama na Jayz ( UFREEMASONRY)?? Ona, kwanini ayaache machalii ya 'R' kibao kama akina BONTA, WATOTO WA BIBI (JAMBO SQUAD), WEUSI, na wengineo kibao!!! Hivi huyu Muuza nyago (Diamond) ana influence gani kwa vidume wa A-town wanaopenda HIPHOP ZENYE STRONG MESSEGE!!?? Eti Diamond!!!!??? Eish!!?
 
kwani kwenye huo uchaguzi wa daraja2 JK ndio aliekuwa anagombea? ushaur kwa JK apeleke wana hiphop watajaa.na mwana hiphop hawez kuwa CCM HATA siku moja.

Na... Ingevutia sana kama watampandisha BONTA, MAPACHA, MKOLONI, WEUSI, na NAKAAYA.
 

Nani kasema!? Cheze R chuga weweee!!!
 

Wana mletea nani uyo bogonyo....waje wajaze uwanja na watoto,wakusoma na maslowmore!! Wana acha mavipaji ya kutosha apa chuga alafu wanatuletea maree wanavua guo majukwani! Waonyeshe machupi yao ya kishoga tena naleo....akuna raia ataenda msikiliza uyo man? Shuli zingi apa mjini! Ata akigawa jala
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…