Diamond, kumbe "Baba Lao" ni ya Naira Manley

Diamond, kumbe "Baba Lao" ni ya Naira Manley

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Huyu jamaa mbwembe zote hizi kumbe kakopy na kupest wimbo huo,ingia u tube andika jina la wimbo "soapy" wa Naira Manley ucheke, kwani mi nimecheka sana sikutegemea kuona Mondi kufanya hivyo.
 
Kukopy sio tatizo wasanii wakubwa tu washacopy

Jay z. Just dead in ur arm
West life i have a dream
No love- eminem
Etc

Kikubwa wimbo kuutendea haki. Kakopi ndio lakini kaubadili kidogo na uko poa. Hata huyo mwenye wimbo anafahamu.
 
Unayumba braza ,

Kuwa original imebakia porini ( msituni)
 
kweli upo nyuma ya muda.
baba lao ni nyimbo maalum kwa ajili ya wasafi festival.
Ni kama kibwagizo tu.
Cha ajabu kuna watu IMEWAUMIZA SANAA.
 
Back
Top Bottom