Diamond kuachia video nyingine wiki hii

Tangazo tu la Vodacom limeharibu mipango yote ya uzinduzi wa Lupela, sasa akitoa na wimbo si ndio balaa kabisa. Tatizo kupigana kwa mawe huku unakaa kwenye nyumba ya vioo ndio hili. Vioo vyote vitapasuliwa.
 
Haya sasa Chibu dangote! Diamond katika ukurasa wake wa twitter amesema kuwa wiki hii anaachia video mpya ya kwake na kutaka watu kukaa mkao wa kula

sijajua Diamond ana Maana Gani akati kiba kaachia video nae mda mfupi tuu

ngoja tusubiri
Ndo kasema hivyo mkuu?
 
Ndo kasema hivyo mkuu?
kuna picha aliwekaga kwenye page yake insta nazani itakuwa hiyo,.akiwa ameshika bunduki tangu dec 12
uploadfromtaptalk1455050515720.jpeg
 
Back
Top Bottom