Diamond kaleta sifa Tanzania

Hiyo hiyo collabo yake na davido ndo international au ulikua unataka aimbeje awe international and MY NUMBER ONE was of world class sana tuu, jaman tumpigieni kura Diamond kwa wingi msanii wetu na ss tupeleka tasnia ya muziki Tz to the next level.
 
Haters, haters, haters!

AY vs Diamond! Unalinganisha vitu visivyokuwepo, eti tungempeleka AY, kwa wimbo upi? Diamond kawa nominated tuzo ngapi Africa this time vs huyo AY?

Achilia mbali tuzo za KTMA ambazo hata nomination AY hayumo.

Tupende ku-appreciate watu wanapofanya vizuri bana!
 
Freemasons popote anaweza fanikiwa
 
let me be hater to this rubbish music
 
Hiyo hiyo collabo yake na davido ndo international au ulikua unataka aimbeje awe international and MY NUMBER ONE was of world class sana tuu, jaman tumpigieni kura Diamond kwa wingi msanii wetu na ss tupeleka tasnia ya muziki Tz to the next level.

hawezi kushinda
 
Your confusing me!!! All in all the dogo is talented'' I real appreciate his hard working!! Ila hapo juu tupeni taarifa zenye uhakika sio mnakimbia kimbia tu.
Hajakuchanganya,jamaa kaongea ukweli,BET awards ni ya U.S.A,na hiyo tuzo aliyotajwa Diamond siyo B.E.T awards ila M.T.V awards za Africa Kusini.So mleta mada kachemka kusema ni B.E.T awards
 
Kama AY ngoma zake ni international basi siku nyingi angeingiankwenye kinyang'anyiro hicho....tuache kufanya comparisonss..AY huwa anajaribu kutushawishi kwamba yuko international but walio huko bado hawajamuona aendelee kukaza buti tuu
 
Natamani hasingejiita 'Diamond Platinumz'...labda angejiita 'Tanzanite' hivi...lingekuwa shavu kubwa zaidi kwa Tanzania!
 
Hiyo hiyo collabo yake na davido ndo international au ulikua unataka aimbeje awe international and MY NUMBER ONE was of world class sana tuu, jaman tumpigieni kura Diamond kwa wingi msanii wetu na ss tupeleka tasnia ya muziki Tz to the next level.

kweli kbs tuache chuki zisizo na maana
 
Kama AY ngoma zake ni international basi siku nyingi angeingiankwenye kinyang'anyiro hicho....tuache kufanya comparisonss..AY huwa anajaribu kutushawishi kwamba yuko international but walio huko bado hawajamuona aendelee kukaza buti tuu

AY anaishiaga kenya tu
 
Hajakuchanganya,jamaa kaongea ukweli,BET awards ni ya U.S.A,na hiyo tuzo aliyotajwa Diamond siyo B.E.T awards ila M.T.V awards za Africa Kusini.So mleta mada kachemka kusema ni B.E.T awards

we wa wapi? gugo vzr uone co mnaperuz km unaogopa kukutwa..Yuko BET
 
sisi tunataka kibongo bongo tuu AY analeta uzungu sana, tunayaona kwa kina Jay Z yameshatuchosha
 
Hajakuchanganya,jamaa kaongea ukweli,BET awards ni ya U.S.A,na hiyo tuzo aliyotajwa Diamond siyo B.E.T awards ila M.T.V awards za Africa Kusini.So mleta mada kachemka kusema ni B.E.T awards

acha ubishi kawa nominated kote BET na MTV . kwenye BET yupo kategory ya best internationa africa, yupo na mafikizolo, davido, n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…