Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Oct 5, 2014 #2 Duh, basi waende kwa diamond wakapewe mpaka na jet sie wengine maua ya kuchuma ndo zawadi kubwa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Oct 5, 2014 Thread starter #3 WAHEED SUDAY said: Duh, basi waende kwa diamond wakapewe mpaka na jet sie wengine maua ya kuchuma ndo zawadi kubwa Click to expand... Viceleb bwana yani hii sasa ndio gumzo la jiji
WAHEED SUDAY said: Duh, basi waende kwa diamond wakapewe mpaka na jet sie wengine maua ya kuchuma ndo zawadi kubwa Click to expand... Viceleb bwana yani hii sasa ndio gumzo la jiji
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 62,101 Reaction score 127,850 Oct 5, 2014 #4 mshana jr said: Viceleb bwana yani hii sasa ndio gumzo la jiji Click to expand... Habari ya mujini
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Oct 5, 2014 #5 Sawa lakini kila ndege huruka kwa bawa lake
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Oct 5, 2014 Thread starter #6 makubazi said: Sawa lakini kila ndege huruka kwa bawa lake Click to expand... Na kuna wengine wanataka kusafiria nyota za wenzao
makubazi said: Sawa lakini kila ndege huruka kwa bawa lake Click to expand... Na kuna wengine wanataka kusafiria nyota za wenzao