Diamond iga na hii staili vile vile!

Diamond iga na hii staili vile vile!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Justin Bieber na staili mpya ya nepi. Naona masharobaro wa bongo nao wataiga hivi punde. Tuanze kujiandaa kisaikolojia!

599145_10151356549397083_966765814_n.jpg
 
ah ah ah teh teh
JF kuna vituko sana, imebidi nicheke tu.
Kazi kwenu vijana wetu wa bongo mnaopenda kuiga kila kitu.
 
hii style ni kama ile ya Janet Jackson!!!probably baada ya kata kiuno hii ndio fashion mpya ya suruali kwa masharobaro
 
Hiyo mbona ipo tayari mtaani kwetu inaitwa Kanyela mumo.
 
Hii mbona alishaivaa Chid Benz loongi tu hata kabla ya JB..
 
Back
Top Bottom