Godfirst
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 406
- 468
Je huo ukatili unauona kwa mama yako , dada zako , shangaz na rafik zako au umeamua kusema tu.Haijalishi Sana ni nini diamond kafanyiwa na baba yake Lakini Mzee hastahili hii Adhabu kabisa
Pia nikumbushe tuu
Wanawake ni viumbe wakatili Sana Sana watu wanasema They are devils
I'm on that good kush and alcohol
Tuwe na akiba ya maneno waungwa si kila kitu kipo applicable kwa kila mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app