Diamond hivi huyu Mzee ni baba yako kweli? Mama anasemaje?

el nino

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
4,709
2,000
Tatizo la diamond show off nyingi sana!!

Wasafi Radio sio yake,mmiliki ni mke Joseph Kusaga ndiyo mwenye % kubwa,maana yake siku wakiona umaarufu wa Diamond umeshuka,watanunua hisa zake zote za Wasafi Media, na Diamond hatakua na kitu tena Wasafi!!

Hata hiyo Hotel,nina uhakika sio yake,kuna watu wapo nyuma yake, Kama sio Kusaga huyo huyo basi kina Bashite! Wanamtumia sababu ana jina,brand kubwa,subiri achoke,walahi mtakuja kukimbiana hapa! Wazungu wanamsemo wao Time will tell!!

Kuhusu ugomvi wa yeye na Baba yake,asipende kuambiwa mambo ambayo sisi tushakua watu wakubwa sasa,Mshua na Maza kuzinguana hizo ni mambo zao,sisi kama watoto tubaki kati tu,hivi kama mzee alikua ananyimwa gegedo na mama diamond,unadhan angeishi bila kula pembeni? Sisi ni watoto tu! Diamond leo baba yako! Mama Kanumba alipata shida sana baada yakanumba kufariki dunia

Sent using, Mashikoro Mageni
Yaani unavyoongea utafikiri umeona kabisa hiyo memorandum ya kampuni ya Wasafi Tv, kumbe mpuuzi tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

el nino

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
4,709
2,000
Hivi mnamjua vizuri mzee abdul ninyi,, huyo mzee ana act maisha akienda kwny hzo interview nakumbuka siku anaenda kwny harus ya queen D, alinifata oficn kwng akaniambia nimpe kasimu kabovu bovu akakifunga mpira akaenda nacho queen akamuona nayo akamoa samsung j7 aliporud akaniambia tutafute mteja tuiuze,,

Na nakumbuka siku anaenda kwny harus ya queen D, alinifata oficn kwng akaniambia nimpe kasimu kabovu bovu akakifunga mpira akaenda nacho queen akamuona nayo akamoa samsung j7 aliporud akaniambia tutafute mteja tuiuze,,

na sasa hivi yuko na passo nyekundu kanunuliwa na mond kuna dogo hapa kitaan anamuendesha

Sent using Jamii Forums mobile app
haya sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mtakahela

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
811
1,000
Kwani hiyo adhabu anapewa na Diamond? Wako wapi wanawake aliowanunulia bia enzi za ujana wake, awatafute wamrudishie chenji.

And women are not devils. b[I'm sure there are milions of devils out there with dicks]

😁😁
 

Mwalimu

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,543
2,000
Diamond akija kuzeeka nae atakuwa analalamika wanae wamemtosa hawamjali wanaangalia mama zao tu.... mwendelezo wa laana ya vizazi!
 

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,249
2,000
Huna unalojua wewe , Huyo mzee alikuwa na hela Sana Tena Sana nenda magomeni kaulize ... Mzee kufulia ni Hali ya kawaida kwa binadamu yoyote Kuna kupanda na kushuka ...


Yule mzee huwa namuona Sana magomeni mikumi amechoka Sana Tena saaaana , hastahili kuishi Yale maisha ... Hata nyumba anayoishi baba diamond tukikuwekea hapa hutaamini... Yani unamnunulia baba yako Bodaboda unashindwa kurekebisha hata kinyumba Chake hapo magomeni?? Mbona amepajenga kwa mama Yake Tandale !?? Au hujui hili...


Namuomba diamond Kama Kuna lolote moyoni mwake kuhusu baba Yake asahau na amfanyie Jambo ... Kama ni Nyumba ajenge , Kama ni gari amnunulie siku Huyo mzee akizifuja dunia itaona kuwa mzee kazingua .. ila kuja hata kumtetea diamond wakati sisi tunajua Huyo mzee mpaka anapoishi magomeni na watu baki wanaomsaidia tunawajua
Mzee wa comments fupifupi za kukera leo umeandika comment ndefu Kwa mara ya Kwanza ..
 

MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
1,439
2,000
Nilichogundua modi anasubili huyu mzee afe ili tuanze kusikia oh mzee wangu nilikua nampenda oh hatukua na tofauti uongo mtupu Mondi wewe unapesa mjali baba kumbuka maisha ni kupanda na kushuka pia ujue hakuna baba mwingine ni huyo huyo usijichumie zambi za bule
Nimefuatilia mahojiano ya huyu Mzee Abdul baba yake Diamond katika TV ya Carrymastori. Mzee anajikaza kiume.

Chini katika maoni nimeona comments za visichana na vivulana vya kizazi hiki vikimponda Mzee kuwa anastahili kupitia anayopitia kwa vile alimtelekeza Diamond akiwa mtoto.Inasikitisha!

Katika maisha,wanaume tunakabiliwa na mengi ila wengi huwa hatulii lii hovyo.

Kuna wanawake umezaa naye, unampa pesa ya matumizi huku anakutukana. Una kipato cha kawaida, unampa mzazi mwenzio pesa, ila anakutukana kuwa unatoa pesa gani ya mboga Unapigania umchukue mwanao,anafanya kila awezalo usifanikiwe. Inafika mahali anakuatambia ana bwana mwenye hela hivyo hababaishwi na vihela unavyomtumia.Unajikuta moyo unakufa ganzi. Mtoto anakuwa mkubwa, amelishwa sumu ya kutosha. Anakuona kama kibaka tu

Diamond unatakiwa kumjali sana baba yako. Ukiangalia hata kitambaa alichojifunga kama barakoa,utaona kiuhalisia aina ya maisha aliyonayo.

Mzee mwenye mtoto anayeweza kulipia kodi watu 500, na wakati huo umenunua hoteli ya mamilioni ya pesa, mzazi wako anafanya biashara ya umachinga wa kutembeza Viatu na corona hii! Ni nini hiki?

Wengine wanashindwa kuwajali wazazi kwa sababu ya uwezo mdogo, wewe una sababu gani ya kuruhusu mzazi aishi kwa unyonge jinsi hiyo?

Hivi haya masharti ya illuminat mbona yanakuwa ya ajabu sana? Au mama Diamond kwa nini usimwambie mwanao amjali baba yako kama anavyokujali wewe?

Au ulishamwambia ana baba mwingine?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom