Diamond hivi huyu Mzee ni baba yako kweli? Mama anasemaje?

Kwani ulijipa mimba mpaka ujimilikishe mtoto ukimlea akikua tunamtafuta amjue baba ake. Afu unaoneka unachonga sana ndio maana umebebeshwa mimba na umetekelezwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana, mimi ni gentleman na nina watoto 2 (twins). No matter what I'll never abandon them.

Kitu kingine najitengenezea fainali yangu mwenyewe, sitegemei watoto wangu wakue waje waninunulie unga wa kula.

Hapa unatakiwa uchemshe Bongo badala ya kunitusi.
 
Huyu baba,anataka alelewe ila kula kwa jasho lake no.
Kapewa nafasi ya kuimba akawa hawezii.
So afanyiwe nini labda hata hela kapewa kahonga
 
Duu kwa hiyo kumkataa baba ndio masharti ya Illuminat,manake Mwana FA na Ommy Dimpoz hawana time kabisa na baba zao waliowakataa na wala hawa zungumziwi.

Ila si shangai tatizo moja la Diamond alilolikosea maisha yake ya familia kuyaweka mtandaoni.Ndio maana kila mtu anajiona ana haki kukosoa maisha ya Diamond,ila kaa ukijua haya mambo ya familia.
MwanaFA baba yake yupi?? Sikiliza interview ya mwanaFA na salama (yaastone town)..mwanaFa hamjui baba yake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mnamjua vizuri mzee abdul ninyi,, huyo mzee ana act maisha akienda kwny hzo interview nakumbuka siku anaenda kwny harus ya queen D, alinifata oficn kwng akaniambia nimpe kasimu kabovu bovu akakifunga mpira akaenda nacho queen akamuona nayo akamoa samsung j7 aliporud akaniambia tutafute mteja tuiuze,,

Na nakumbuka siku anaenda kwny harus ya queen D, alinifata oficn kwng akaniambia nimpe kasimu kabovu bovu akakifunga mpira akaenda nacho queen akamuona nayo akamoa samsung j7 aliporud akaniambia tutafute mteja tuiuze,,

na sasa hivi yuko na passo nyekundu kanunuliwa na mond kuna dogo hapa kitaan anamuendesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kupanda mbegu kwenye shamba halafu ukaitelekeza ukategema utakuja kupata mavuno mazuri. Ili liwe funzo kwa sisi wanaume tunaotelekeza watoto halafu wakifanikiwa tunaanza kulilia.
We unadhani asingekuwa juu angemhitaji kwani huyo mzee ana watoto wangapi? WHy Diamond?
Wewe bado kinda. Ni halali yako kucheua jukwaani.
 
Kati ya vitu ambavyo diamond anakosea ni hiki cha kumtelekeza baba yake,katika maisha Haya ya ndoa nimejifunza kuwa siku zote mwanamke ikiwa muna watoto huwa anajaribu kuwarubuni na kuwavutia upande wake huku akijaribu kuonesha mabaya yako kwa watoto, mwisho wa siku unakuta watoto wote wamekudharau na kulalia upande wa mama, hapa ndo utaiona duni chungu

Baba Mond anapitia magumu sana ambayo hakupaswa kuyapitia,mwanamke yeyote akisha kuza watoto na kuona wanauwezo wa kumhudumia hupunguza mapenzi kwa Mme wake,yaani huwa nawaza sana anayoyapitia baba mond nawaza na Mimi huenda kuna siku nitayapitia Haya,kuna watu wengi sana nimewaona wakiteseka kisa tu ubaradhuri wa mwanamke

Mond anapaswa kusahau na kusamehe ubaya wote eidha baba yake alimfanyia au mama yake ali fanyiwa na baba Mond,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mnamjua vizuri mzee abdul ninyi,, huyo mzee ana act maisha akienda kwny hzo interview nakumbuka siku anaenda kwny harus ya queen D, alinifata oficn kwng akaniambia nimpe kasimu kabovu bovu akakifunga mpira akaenda nacho queen akamuona nayo akamoa samsung j7 aliporud akaniambia tutafute mteja tuiuze,,

Na nakumbuka siku anaenda kwny harus ya queen D, alinifata oficn kwng akaniambia nimpe kasimu kabovu bovu akakifunga mpira akaenda nacho queen akamuona nayo akamoa samsung j7 aliporud akaniambia tutafute mteja tuiuze,,

na sasa hivi yuko na passo nyekundu kanunuliwa na mond kuna dogo hapa kitaan anamuendesha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli?
 
Wewe bado kinda. Ni halali yako kucheua jukwaani.
Kinda ni wewe usye jua majukumu usiye jua kuwa baba si kuweka tu ni kutunza... watu wazima tunajua hili siyo visharobaro kama wewe na huenda roho inakusuta kuna mtoto umemterekeza
 
Narudia tena, wewe bado kinda. Ni halali yako kucheua hapa jukwaani.
 
Kati ya vitu ambavyo diamond anakosea ni hiki cha kumtelekeza baba yake,katika maisha Haya ya ndoa nimejifunza kuwa siku zote mwanamke ikiwa muna watoto huwa anajaribu kuwarubuni na kuwavutia upande wake huku akijaribu kuonesha mabaya yako kwa watoto, mwisho wa siku unakuta watoto wote wamekudharau na kulalia upande wa mama, hapa ndo utaiona duni chungu

Baba Mond anapitia magumu sana ambayo hakupaswa kuyapitia,mwanamke yeyote akisha kuza watoto na kuona wanauwezo wa kumhudumia hupunguza mapenzi kwa Mme wake,yaani huwa nawaza sana anayoyapitia baba mond nawaza na Mimi huenda kuna siku nitayapitia Haya,kuna watu wengi sana nimewaona wakiteseka kisa tu ubaradhuri wa mwanamke

Mond anapaswa kusahau na kusamehe ubaya wote eidha baba yake alimfanyia au mama yake ali fanyiwa na baba Mond,

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo Huyo mzee anapiga miguu dialy hapo magomeni mikumi ninamuona kwa macho yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena kinda ni wewe watu wazima hawakimbii majukumu yao ila makinda

Labda nibadilishe tone utanielewa. Hakuna ajuaye nini kilitokea kati ya mama na baba Diamond mpaka wakaachana. Na kama hujui, mkiachana na mke wako huwa kuna kukomoana fulani hivi.

Hata kama baba Diamond alikuwa akimhudumia mwanae japo kidogo, sumu ya mama yatosha kumbadilisha kabisa kijana na akamuona baba kama shetani asiyestahili msamaha wowote ule.

Namuona tu Diamond kama aliyelishwa maneno ya sumu dhidi ya baba yake,kwa kuwa hata afanyeje hawezi kuwa na baba mwingine.

Anatakiwa amshukuru Mungu kwa mafanikio yake na achukulie tu kuwa ni mpango wa Mungu uliofanya yatokee hayo na aweze kufanikiwa katika muziki. Unajuaje? Inawezekana baba asingempa hiyo fursa ya kuwa mwanamziki.

Nadhani umepitia malezi ya baba na ukaona misimamo yao ilivyo mikali juu ya watoto kutaka kuenzi vipaji vyao kama mpira au mziki huku wakitelekeza masomo.

Leo hii tumeona mama watoto wa Diamond, Zari naye akilalamika kuhusu matunzo ya watoto. Na kilicho waachanisha wanakijua wenyewe tu. Kwanini yanayomtokea juu ya mahusiano yake asiyachukulie kama somo juu ya ugomvi kati ya baba na mama yake na hatimaye yeye kutelekezwa? Aache utoto bwana asonge mbele amsaidie baba yake apate thawabu mbele za Mungu.

Kama usipoelewa haya, nitaendelea kukuita Kinda.
 
Hakuna kitu kinaweza kujustify kutomhudumia mwanao tena diamond alisema mwenyewe alimfuta baba yake amsaidie kipindi ana ela anakula bata baba akamfukuza, baba yake hajawahi likana wala kupinga haya madai sasa wewe ni nani ufanye assumption kama mhusika hajawahi kupinga?
Wewe ndiye kinda kwasababu mimi ni baba ambaye nina mtoto ambaye mimi na mama yake hatuko kwenye maelewano mwaka wa tano lakini kutoelewana na mamayake hakujanifanya nisitimize mahitaji yake ya msingi.... makinda mnapenda tumia hii excuse kukimbia majukumu yenu
 
Basi wewe bado ni Kinda tena squared. Kumbe ni walewale wa kuzalisha hovyo mitaani. Nimefunga mjadala dhidi yako. Hujui pia kuwa hakuna justification yoyote chini ya jua ya kutomjali mzazi wako (vitabu vyote vya dini vimeongea hayo kuhusu visasi). Usinijibu huu ujumbe vinginevyo nitakubadilishia jina.
 
We ni kinda sana mkimbia majukumu mtoto uzae kwa starehe zakomajukumu ukimbiehalafu uanze lia lia eti akukumbuke, ukikimbia majukumu kimbia kabisa usirudi tena
 
Mnagombana Nini tena hapa jukwaani jamani
 
Back
Top Bottom