Diamond ft Rick Ross "waka"

Diamond ft Rick Ross "waka"

Nadhani ni muda wa wasanii wa aina hii kutafuta watu wa kuwaandikia mashairi, nyimbo ina mfanano fulani na zilizopita, ajitahidi kuimba vitu vyenye maana kidogo.
 
Tuombe tu ney wa mitego asitufungulie kesi kwa kuiba kipande chake cha kwenye wimbo wake wa makuzi "waka waka wakawaka"
Ninachokumbuka... Wakati mavoko anaenda kutambulisha nyimbo yake ya [HASHTAG]#kokoro[/HASHTAG] pale radio mawingu... Diamond alikuwepo na alihojiwa mawili matatu.... Na alisema kwamba anataka kuachia international Albam.. ambayo ndani yake kuna rickrose, rihana na wengine.... Nadhani hyo ilikuwa kabla hata nyimbo ya NAY WA MITEGO... Waka waka.... Na alisema nyimbo na Rickrose. Ipo tayari... Ilikuwa bado video tu.... Ila nyimbo na rihana ndio iliyokuwa inamsumbua kutokana na kumpata huyo rihana ili wafanye kazi....

SASA HAPO KWENYE KUCOPY HIYO #WAKA_WAKA CJUI PAKOJE... NANI KAANZA WANAJUA WAO WENYEWE...
 
Yaani sio kwamba sitambui uwezo wake katika uimbaji ila "Diamond Hajawahi kutumia fursa vizuri na Msanii Mkubwa" anaimba kama anaimba na Asha Boko au ile minyama ya Rick Ross aliona yuko na Asha Boko?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kitu kizur nakijua tu napoikiona au kukisikia for the first tme ngoma kaliii hapa nasubir collable yake tu na Rosa Lee
 
Ni hatua nzuri ya kimafanikio kimuziki aliyoifikia nazani kila mwamuziki wa bongo anatamani kufikia mafanikio ya Mondi, ila turudi kwenye hiyo ngoma ya
waka waka ni ya kawaida mnoooo! Tulitegemea muziki mzuri lakini imekua kinyume chake.
 
Ninachokumbuka... Wakati mavoko anaenda kutambulisha nyimbo yake ya [HASHTAG]#kokoro[/HASHTAG] pale radio mawingu... Diamond alikuwepo na alihojiwa mawili matatu.... Na alisema kwamba anataka kuachia international Albam.. ambayo ndani yake kuna rickrose, rihana na wengine.... Nadhani hyo ilikuwa kabla hata nyimbo ya NAY WA MITEGO... Waka waka.... Na alisema nyimbo na Rickrose. Ipo tayari... Ilikuwa bado video tu.... Ila nyimbo na rihana ndio iliyokuwa inamsumbua kutokana na kumpata huyo rihana ili wafanye kazi....

SASA HAPO KWENYE KUCOPY HIYO #WAKA_WAKA CJUI PAKOJE... NANI KAANZA WANAJUA WAO WENYEWE...
Mkuu kitachoangaliwa hapo n nani katangulia kuregister wimbo wake ndo atakua na hati miliki sio nan alitangulia kusema na mimi kama shabiki wa mziki naangalia wimbo upi ndio nimeusikia mapema..
 
Katika maahairi alioimba Rick Ross ni kama tangazo la beraile. Beraile here, beraile there , we gotta beraile everywhere
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom