Wee hii Avatar yako lazima ni matusi... Bishaaa...!!!??Njoo nikusimulie yaani kaimba kama Bambo Kademu ka Mizinga
Matusi kivipi mkuu unaiona kama mshipa kwa kiunoni?Wee hii Avatar yako lazima ni matusi... Bishaaa...!!!??
Mkuu huo wimbo ni MbayaMm mpaka sasa nimesikiliza mara tano lakini nimeshindwa kujua ni nzuri au mbaya
HahahaaMatusi kivipi mkuu unaiona kama mshipa kwa kiunoni?

Embu nisikilize tenaaMkuu huo wimbo ni Mbaya
Hahahaa
Yaani nimejaribu kuizoom hata sijaambulia kitu...
Naona inafanania hivi...
![]()
![]()
![]()
![]()
Embu ngoja nisikilize mara ya sita
Pole mrembo. Tuma namba inbobo nikujazie salio.Yaaan vimekaza zaidi ya sana naomba nikuje mkuu tuangalie wote
Basi kuna poor mastering mkuu! Ukiona wimbo unasikika vizuri kwenye baadhi ya speaker tu basi inaweza ikawa imafanyiwa mastering mbovu!Nyimbo kali sana. Piga kwenye home theater 1000W ni bonge la ngoma, sasa ww sikiliza kwenye vi speaker vya mchina huwezi pata radha halisi ya Wimbo huu