Sanaa Tena Nyoso Mzee wa MadoleDuuu kweli bongo nyoso. ..
MmhMtafute devy atakusimulia bwabwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani sio kwamba sitambui uwezo wake katika uimbaji ila "Diamond Hajawahi kutumia fursa vizuri na Msanii Mkubwa" anaimba kama anaimba na Asha Boko au ile minyama ya Rick Ross aliona yuko na Asha Boko?
Video bado boss huku kwetu ile kule mbele inapigwa nasikiaYaaan vimekaza zaidi ya sana naomba nikuje mkuu tuangalie wote
Bora na wewe umeona mkuuYaaaah na ukisikiliza kawaida unaona simple ila ukisikilizia kwenye balanced sound system nahis inakuwa poa
Sawa mkuuVideo bado boss huku kwetu ile kule mbele inapigwa nasikia
Ulitaka alipwe naniwakat yeye ndio mwenye nyimbomond ndo analipwa ama?
Njoo nikusimulie yaani kaimba kama Bambo Kademu ka MizingaBundle mzozo aliyeangalia naomba nikuje tuangalie wote jaman
Nakuja RaphaNjoo nikusimulie yaani kaimba kama Bambo Kademu ka Mizinga
Kila mtu ana sikio lake mkuu ndiyo maana kuna Vichaa na Wendawazimu wote ni kundi moja ila wanatofautiana kubung'aa.Nyimbo kali sana wakuuu tuache ushabiki maandazi
Njoo Bibie unaweza kunitoa hata Stress za jengo letu kubomolewa.Nakuja Rapha
Bora Usiangalie.Ni video au audio..