Kizuri siku zote kipewe sifa zake ,mziki mzuri kuanzia sound na touches za producer ni mpya ...
Kwangu mm touches za humu sio zile nilizozoea za producer wao ...kuna kitu japo zimekaa kama za hao jamaa aliyemshirikishaakuna tofauti gani na halleluya?
mi naona kapita mle mle hakuna jipya.Kwangu mm touches za humu sio zile nilizozoea za producer wao ...kuna kitu japo zimekaa kama za hao jamaa aliyemshirikishaa
maoni yangu
mond ndo analipwa ama?Eti naskia video inapgwa Marekani tu tena kwa kulipiwa
Khee bundle la jero tuu. .Bundle mzozo aliyeangalia naomba nikuje tuangalie wote jaman
Njoo hapa MK, Mi mjamaa, Sina ubinafsi!Bundle mzozo aliyeangalia naomba nikuje tuangalie wote jaman
Yaaan vimekaza zaidi ya sana naomba nikuje mkuu tuangalie woteKhee bundle la jero tuu. .
Kweli vyuma vimekaza
Duuu kweli bongo nyoso. ..Yaani sio kwamba sitambui uwezo wake katika uimbaji ila "Diamond Hajawahi kutumia fursa vizuri na Msanii Mkubwa" anaimba kama anaimba na Asha Boko au ile minyama ya Rick Ross aliona yuko na Asha Boko?
Mk ya kino eenh slimNjoo hapa MK, Mi mjamaa, Sina ubinafsi!