Diamond ashindwa kulipia Plate Number

Jane Lowassa

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,899
8,896
Wakuu, poleni na mfungo.

Kama mtakumbuka, siku chache zilizopita nilitoa angalizo kuwa matumizi mabaya ya fedha ya kijana wetu Diamond yanaweza kupelekea nyota huyu kufilisika na kujikuta anaungana na wasanii wengine waliowahi kung'aa lakini wameshafulia.

Kana kwamba Mungu alikuwa pamoja nami, leo utabiri wangu unaanza kutimia.

Akiongea na kipindi cha Amplifaya cha CLOUDS FM na kutoa maoni yake juu ya uamuzi wa serikali kupandisha ada ya kulipia number plate kwa watu wanaoweka majina yao kutoka shs milioni 5 hadi 10, mwanamuziki huyo amesema hana tena mpango wa kuweka jina kwenye gari lake na sasa atarudia utaratibu wa zamani wa kuweka namba kama watu wengine wafanyavyo.

"Unajua ule ulikuwa ni ujana tu, na mtu ukiwa kijana unataka kujaribu kila kitu. Ila kwa sasa nimeshakua hivyo sitoweka tena jina langu". Alisikika akijishaua nyota huyo wa WCB akijaribu kujikakamua ili kuonyesha ni kukua ndiyo kumemfanya abadili maamuzi lakini WENYE AKILI tumemshtukia.

My advice: Raia wema tunapotoa ushauri juu ya jambo lolote yapaswa tusikilizwe na siyo kuchukuliwa poa.
 
Jane Lowassa naheshimu sana maoni yako lakini hapa umekurupuka kidogo mwanangu!! Kama kuna kipindi ambacho huyo dogo anaogelea kwenye mvua ya hela basi ni sasa.. Haijalishi ni sababu gani zilizomfanya asitishe kutumia plate number ya jina lake lakini sababu hiyo sio kwasababu hana uwezo wa kuilipia..
 
Wakuu, poleni na mfungo.

Kama mtakumbuka, siku chache zilizopita nilitoa angalizo kuwa matumizi mabaya ya fedha ya kijana wetu Diamond yanaweza kupelekea nyota huyu kufilisika na kujikuta anaungana na wasanii wengine waliowahi kung'aa lakini wameshafulia.

Kana kwamba Mungu alikuwa pamoja nami, leo utabiri wangu unaanza kutimia.

Akiongea na kipindi cha Amplifaya cha CLOUDS FM na kutoa maoni yake juu ya uamuzi wa serikali kupandisha ada ya kulipia number plate kwa watu wanaoweka majina yao kutoka shs milioni 5 hadi 10, mwanamuziki huyo amesema hana tena mpango wa kuweka jina kwenye gari lake na sasa atarudia utaratibu wa zamani wa kuweka namba kama watu wengine wafanyavyo.

"Unajua ule ulikuwa ni ujana tu, na mtu ukiwa kijana unataka kujaribu kila kitu. Ila kwa sasa nimeshakua hivyo sitoweka tena jina langu". Alisikika akijishaua nyota huyo wa WCB akijaribu kujikakamua ili kuonyesha ni kukua ndiyo kumemfanya abadili maamuzi lakini WENYE AKILI tumemshtukia.

My advice: Raia wema tunapotoa ushauri juu ya jambo lolote yapaswa tusikilizwe na siyo kuchukuliwa poa.

Ameshindwa au ana mpango Kwa sasa?Umemstukia na nani?Sema unampenda sana Diamond maana unavyomfuatilia ,safi sana , Milioni kumi kwake ni kitu kidogo sana , lakini Kama ambavyo Sasa hataki namba Ndio baadae Hata meno hatayaacha so usipotoshe mambo
 
Wakuu, poleni na mfungo.

Kama mtakumbuka, siku chache zilizopita nilitoa angalizo kuwa matumizi mabaya ya fedha ya kijana wetu Diamond yanaweza kupelekea nyota huyu kufilisika na kujikuta anaungana na wasanii wengine waliowahi kung'aa lakini wameshafulia.

Kana kwamba Mungu alikuwa pamoja nami, leo utabiri wangu unaanza kutimia.

Akiongea na kipindi cha Amplifaya cha CLOUDS FM na kutoa maoni yake juu ya uamuzi wa serikali kupandisha ada ya kulipia number plate kwa watu wanaoweka majina yao kutoka shs milioni 5 hadi 10, mwanamuziki huyo amesema hana tena mpango wa kuweka jina kwenye gari lake na sasa atarudia utaratibu wa zamani wa kuweka namba kama watu wengine wafanyavyo.

"Unajua ule ulikuwa ni ujana tu, na mtu ukiwa kijana unataka kujaribu kila kitu. Ila kwa sasa nimeshakua hivyo sitoweka tena jina langu". Alisikika akijishaua nyota huyo wa WCB akijaribu kujikakamua ili kuonyesha ni kukua ndiyo kumemfanya abadili maamuzi lakini WENYE AKILI tumemshtukia.

Endelea kupiga ramli
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1465579719.671111.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1465579719.671111.jpg
    90.9 KB · Views: 69
[QUOTEhas.errymsigwa, post: 16469195, member: 89690"]Mpk uka comment wkt uneona title ni kuonesha na wewe unapenda kudiscuss watu..ptuuu[/QUOTE]
Ha ha haa. Harudi tena huyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom