Je traffic police ana haki ya kutoa plate number za gari???

M

Micky1

New Member
Joined
Jan 16, 2010
Messages
2
Likes
0
Points
0
M

Micky1

New Member
Joined Jan 16, 2010
2 0 0
(kuna mdau kaniletea hii,hebu tuijadili kidogo.)

Ninaomba kwa yeyote yule mwenye uelewa na masuala ya sheria za usalama barabarani anisaidie kwa hili lililonikuta. Mimi ni kijana wa kitanzania niliyeamua kupunguza umasikini kwa vitendo.

Nimebahatika kupata gari zinazofanya biashara ya kubeba abiria (daladala). wiki iliyopita gari langu lilikamatwa kwa kosa la kushusha abiria nje ya kituo cha Mwenge na likakamatwa na traffic,kweli hilo ni kosa.Lakini dereva hakupaki pale kwa makusudi bali clutch ilikuwa inasumbua na kama angeingia kituoni ndani kwenye msongamano wa magari kungekuwa na hatari ya kugonga magari mengine, so akapaki nje ili apeleke gari garage.

Traffic police alikamata gari na hakutaka kusikiliza melezo ya dereva,gari ikapelekwa Mwenge kituo cha polisi na ikaandikiwa makosa matano na kila kosa ni Tzs 20,000. Sikuwa na pesa ya kulipia ila baada ya siku tatu nikalipia TZs 100,000 kwa makosa yote.

Cha ajabu kwenda kuchukua Gari langu yule vihicle inspector akawa ametoa plate number za gari na akasema hatoi namba mpaka makosa aliyoandikia yamefanyiwa kazi. Ila nikajiuliza sasa gari bila plate number litatembeaje mpaka garage?ila yeye akakataa kabisa kutoa plate namba.

Mkasa wa pili unalihusu gari jingine ambalo traffic police alilikamata kwa kosa la kusababisha foleni barabarani wakati gari hili nalo pia lilikuwa na matatizo ya clutch.polisi huyu nae alitoa plate namba na kutuambia tumtafute. Imagine unamtafuta polisi ambaye hujui yupo kituo gani. ilitugharimu siku mbili za kumtafuta mpaka kuja kumpata na kupatiwa plate namba yetu.

Ikumbukwe kwamba gari moja lina wafanyakazi wasiopungua wawili na kila mmoja ana familia yake, hivyo kitendo cha gari kutofanya kazi kwa sababu askari wa usalama barabarani amelizuia kuna athithiri familia mbili za wafanyakazi wangu pamoja na mimi mwenyewe pia.

Sasa mimi nauliza wanajamii je, Polisi ana haki kisheria kuchukua plate namba za gari hata kama gari husika linamakosa?

Naomba msaada wenu maana me naona askari huyu anakwamishajuhudi zetu za kupounguza umaskini na kuturudisha nyuma kimaendeleo.

LINC

LINC

Member
Joined
May 26, 2009
Messages
38
Likes
0
Points
13
LINC

LINC

Member
Joined May 26, 2009
38 0 13

Traffic wetu rushwa imetawala sana sidhani kama wataweza kuwa chini ya sheria hata kama ingetungwa sheria ya papo kwa papo kama uchina
 
Mwalimu

Mwalimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
1,492
Likes
284
Points
180
Mwalimu

Mwalimu

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
1,492 284 180

Hakuna sheria na ya namna hiyo...huu ni uhuni unaofanywa na trafic police kama wanavyonyang'anya funguo na kuondoka nazo
 
Baba_Enock

Baba_Enock

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
6,900
Likes
338
Points
180
Baba_Enock

Baba_Enock

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
6,900 338 180
Mpigie Kamanda Kombe - Traffic Police Mkuu wa Ma-traffic!
 
drphone

drphone

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Messages
3,561
Likes
94
Points
145
drphone

drphone

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2009
3,561 94 145
lazima kuna ukiukwaji wa sheria hapo na mpaka wakuandikie makosa matano maramoja yote ni hasira baada jerry murro kuwanika ila tutafika tu
 
Forum statistics

Threads 1,250,033
Members 481,189
Posts 29,718,777