Baba Sharon
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 372
- 257
Hawa watoto wa kike na bonge JB......yule dada mwenye macho makubwa ya kurembua sijui anaitwa nani yeye ndo alikuwa anarusha pesa na huyu Wema.............Kwa ufupi wote walikuwa wamelewa na walikuwa wanapiga makelele sana.........Kaka kitu cha Mkulima kipo Dar Street nafikiri Kunta Kinte amekupa mwelekeo mzuri Karibu jamaa wanachoma nyama na Mtura pouwa sanaNyama choma pale ndo kwenyewe,maeneo ya majengo.Waliokuwa wakirusha pesa juu kina nani?
Ni kweli kunta Kite Bar ile ipo pale Dar streer mkabala na Guest maarufu za Devota..............Mi pale huwa nafuata Mitura na Nyama ya Mbuzi ukishusha na bia kadhaa raha mustarehe
dU!! MKUU UKINIKUMBUSHA MTURA MATE YANAJAA MDOMONI!!!
Mtu ni afya jamani, keki yawekwa chini, tena pembezoni mwa swimming pool?
swala ni kwamba wale bata wakijua kwamba kuna na mlenda pia siku zijazo nafikiri ni angalizo tu.Acha choyo mkuu ndio hawatakiwi hata kula bata?lol!
mbona anakula kama sumu?Duh, bethdei nyingine wallahi sio mchezo!
Bonge JB ndo nani mkuu?Hapo umeniacha kiaina.Hawa watoto wa kike na bonge JB......yule dada mwenye macho makubwa ya kurembua sijui anaitwa nani yeye ndo alikuwa anarusha pesa na huyu Wema.............Kwa ufupi wote walikuwa wamelewa na walikuwa wanapiga makelele sana.........Kaka kitu cha Mkulima kipo Dar Street nafikiri Kunta Kinte amekupa mwelekeo mzuri Karibu jamaa wanachoma nyama na Mtura pouwa sana
Karibu sana KakaBonge JB ndo nani mkuu?Hapo umeniacha kiaina.
Kuhusu mutura,mimi nilikuwa nikiipata Nairobi peke yake,ilikuwa nikifunga safari ya Nairobi basi mutura ni a must!ila sasa ndiyo nasikia pia ipo bongo hususan Moshi.Ni confusion tu ya majina na maeneo kwasababu it has been a while,lakini nakumbuka sana mkulima na kwa Kipanga kulikuwa popular sana,na bado naona ni the same.Itabidi tuwasiliane nikiingia Moshi mkuu.
99% percent ya watu ni ma haters humu?Ila 99% percent ya watu ni ma haters humu!!...
Kupata hela na kuwa na demu kama wema kwakweli umeukata ni hatua ya kimaendeleo nampongeza diamond kwa kufikia hatua hiyo kubwa upewe nini tena wote unakanyaga
Ekchuzi mwa, huyo sio 'demu' wake, ni mtalaka aka exi. Manake hawajatuupdate kwenye media kurudiana baada ya dramatically kuachana.
wakiumwa hawa wanataka kuchangiwa wapelekwe india si ndio?
Duh, bethdei nyingine wallahi sio mchezo!