Diamond anakula keki!

Na huyu pengine kama anasubiria nae alishwe lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Haya ni ya muda tu ni bora atulie aangalie mbele zaidi maana tuliwaona akina Kanda Bongoman na akina Awilo wakapita.Ningemshauri ajikite kujijenga na kuweka vitega uchumi maana kwenye hii dunia kuna kupanda na kushuka
 
Hao wenzake wawili wanatamani nao walishwe.
 
NI KWELI...NANI ALIKUWA KAMA KANDABONGOMAN? nani ANAMKUMBUKA AWILO? JE KOFFI OLOMIDE? WOTE HAWA WAMEPITA, ITAKUJA KUWA HAWA VIJANA WANAOIBUKA SASA HIVI PENGINE VIWANGO VYAO VIKO CHINI SANA KULINGANISHA NA HAWA MAGWIJI WALIOKWISHA PITA? NINGESHAURI MUDA HUU WAUTMIE VIZURI MAANA NDIO UNAPITA HIVYO!!
 
Toka Tandale mpaka kwenye swiming pool tuseme ki jk amepigia hatua ya maendeleo
 
Haya ni ya muda tu ni bora atulie aangalie mbele zaidi maana tuliwaona akina Kanda Bongoman na akina Awilo wakapita.Ningemshauri ajikite kujijenga na kuweka vitega uchumi maana kwenye hii dunia kuna kupanda na kushuka
well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…