jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,902
Diamond ndie star wa kweli sio wengine kukesha na sisi club mpaka tunawachoka na wanakuwa si mastar tena juu yetu Fiesta lazima niudhurie kumuona mkubwa Chibu akifanya yake na T.I
Kwa hiyo tufanyaje??