Diamond ampa kipigo Wema Sepetu amharibu uso kisa sms ya mapenzi

WASWAHILI BHANA! si walisema
Kofi la mpenzi haliumi na msemo mweingine Mwanamke hupigwa upande wa khanga kutoka ktk misemo hiyo tukubali kuwa suala la mwanamke kupigwa linakubalika ktk jamii zinazofuata hiyo misemo mnabisha???????
 
yeah..ili atokeze kwen front page magazetini

Kama Rihhana?!

Jokes aside sidhani kama kuna mtu na akili zake timamu atakayoomba apigwe ili atokee kwenye magazeti

Watanzania tunatakiwa kuwa na ujasiri wa kufikishana kwenye vyombo vya sheria. Violence ya aina yoyote ile haikubaliki
 
Wanaume wengi wajinga wa mapenzi. Hata umpige vipi kama ni kukusaliti atakusaliti tu. Kama ana mambo ya kijinga timua.
 
Wanaume wengine wanapenda pressure, lazima achukue mazoezi ya ubaunsa na hivi alivo muashock sijui sasa!
 
dalili za mvua ni mawingu...................na ndege njema huonekana tangia asubuhi alfajiri
 
sio mkorogo....shes always been light skinned...unless alikua anajichubua since primary...afu tatizo letu wabongo ndo hilo tunajifanya tunawajua sana watu kisa tunawasoma.....
anyway sasa hiyo pic nayo mwandishi kaitoa wapi? maana it looks like kajipiga mwenyewe......hapa kuna kitu kime miss....anyway HAYA...tutaona.
 
Ni promo kweli; huoni alivyokula pozi na kukinga shavu kabisa ili picha ichukue tukio vizuri lol. By the look katika hii picha naona Wema ana feel proud kwa kupewa kichapo maana sioni kwa nini akubali kupigwa picha kama hiyo;

Achukue hatua wakati mwenzako kuandikwa kwake ni bonge la promo! Sanasana atachukua hatua itakayozidisha kuandikwa zaidi, anaweza hata kumuomba Diamond amwongezee kichapo
 
huwa najiuliza swali moja tu, hivi huyu dada hawezi kuendesha maisha yake kivyake? Make sasa naona anapigwa mara 3 kikojoleo, kijambio na reception? yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy
 
I feel sorry for Wema. Sijui anang'ang'ana nini kwa huyo Diamond kwa kweli, i hope ataamka karibuni maana amelala fo fo fo.
 
kweli amembabua
Duh!Hii avatar basi tu,nimekugongea thanks!
avatar53668_1.gif


Ni beyonce huyu?
 
Hapo hawajaoana, wakioana si ndo watatoana macho kabisa haawa wana hizaya.kwa mtu kama wema, dayamondo ni vema akaanza mazoezi na ukoo wa akina matumla kwa sababu vipigo vitakuwa ni sehemu kubwa na huyu shugamami wake.
 
Back
Top Bottom