Diamond amkabidhi Makonda madawati 600 kwa ajili ya shule za jijini Dar es Salaam

Hivi mnaodisi kwamba Diamond hamsaidii baba yake, mna uhakika kwamba ndo huyo kweli!!? Ama mama Diamond ameshawathibitishia!? Mama ndo anamjua baba D og pengine alikuwa kaka yake, na mnaemjua wakampakazia tu.. japo
Siungi mtu mkono kutomsaidia mzazi wake lakin mzazi mwenyewe ujue hajiamini badala ya kumface mwanae yeye anafata vyombo vya habari sio kutafuta kiki huko!!?
Hebu soma ulichoandika kisha utuambie umeelewa nini!
 
Ukisoma baadhi michango ya humu ndio utajua wabongo wengi kama wachawi tu....hawana jema kutwa kucha kusubiria mabaya!
 
Lakini waandishi wa Tanzania wengi hawajitambuwi hasa hawa wenye viblog uchwara.

Usahihiwa habari inatakiwa iandikwe Diamond ameahidi kutowa madawati 600, maana nimefuatilia hakun sehemu yoyote yalikofanyika makabidhiano ya hayo madawati.

Kuna watu humu walikuwa wanamshauri Millard Ayo arudi shule nilidhani wanamuonea kumbe wapo sahihi na wanaona mbali sana.
 
Nimeipenda hiyo. Hao ndo wazalendo, sema kuna washamba wa mwendokasi hapo napo hawatachelewa kuleta mambo ya team, mara ooh yeye mwenyewe alifadhiliwa, mara oooh kwani yana thamani gani, rubbish. Keep it up bwana mdogo
Hivi angetoa kwenye shule moja kwa moja isingekuwa na maana mpaka ayapeleke kwa makonda hapa hakuna msaada
 
Nampongeza Diamond kwa moyo wake wa kujitolea. Lakini ingependeza kama Diamond angevaa mavai ya Kitanzania mfano mgololi wa Kimasai badala ya hayo mavazi ya Kinageria. Natambua mavazi is a personal choice lakini kwa muda nimekuwa nahisi Diamond pamoja na mafanikio makubwa kwenye sanaa ya muziki ana mapungufu kwenye elimu. Kuna kipindi alikuwa amauita mtoto wake Tifa Dangote! Kwa haraka haraka utajiuliza inakuwaje mwanaume anampa mtoto wake jina la mwanaume mwingine? Au Dangote anamlipa kwa kutangaza 'brand yake' kupitia kwa mwanae?

Sasa leo anajitokeza na minguo ya Nigeria. Shida ni nini?
 
Tatizo hakuna nguo za kitanzania. Haya manguo tunayovaa ni ya kizungu.
 
Kupitia kipindi cha ‪#‎FNL‬ kinachorushwa na EATV siku ya Ijumaa, msanii Diamond Platinumz aliahidi kuna tukio kubwa atafanya siku ya J'tatu. Na leo hii ametimiza ahadi hiyo baada ya kumkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, mchango wa madawati 600.

Kama mtanzania mzalendo, tupia neno moja la pongezi kwake

Safi sana kijana u grow up
 
we diamond mbona kigoma hutatuletea hata dawati moja. au nawe unatafuta ukuu wa wilaya?
 
Haijalishi..... na hana cha kuigwa... kama anaamini Mungu makosa aliyofanya yeye duniani hastahili hata kukanyaga ardhi anayoiamini ni ya mungu wake... hivi Uislam hauna kusamehe? Kuna Rafiki yangu babake aliwatelekeza baada ya kumuacha mama yao akaoa mwingine familia ilipigika sana watoto wa kishua walifikia kuuza ndizi kwenye sinia kichwani kuzunguka jiji hadi maisha yakatulia wakawa juu... baba yao maisha naye yakampiga aliumwa sana habari zikafika kwa watoto wake hawakusita kumsapoti dingi yao akapona japo hawaishi wote ila wanampiga tafu kimaisha....

Sasa huyu dogo mpenda sifa anayofanya ni uozo tu...

Umeona nalazimisha sehemu? au hujui kusoma maoni? nilichoandika kipo wazi kuwa hajui kusamehe? na kama hajui hana cha kuigwa... naona watu mshaanza kuadopt tabia kama za raisi wenu mpya... hamshauriki... kila kitu mnajifanya mwakijua na maamuzi yake... be careful unapojaribu kunichallenge for no reasons
kwann ww usimsaidie ? ww si mtz mwenzako ?
 
Mtu unaponda wakati mwanao anasoma shule ya kata na hayo madawawati ndo ataenda kukalia
 
Wako wapi mabilionea mbona hawa changii madawati au kwa sababu watoto wao hawasomi huko kwenye kata
 
Hongera sana! Amedhihirish kuwa yeye in trail blazer. Wengine waige mfano wake badala ya kuwa mahaters
 
Back
Top Bottom