Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 5,200
- 7,027
WIZARA YA Utalii na Taasisi Zake hawana nia ya Dhati ya kutangaza Vivutio vyetu!
Zaidi ya kung'ang'ania idea ambazo zina hazina Mashiko...
Nimeshawahi kwenda Wizarani pale mpaka Bodi ya Utalii...
Nikiwa na idea nzuri Sana ya namna ya Kutangaza Vivutio vyetu nje ya nchi... Nikiwa na Wadhamini wangu mkononi, nikihitaji tu Barua ya Utamburisho....
Hizo njoo Kesho, Marketing officer kasafiri, Njoo week ijayo Sijui nani hayupo.... Just kupewa barua tu ya kutambua Non profit project yangu... Mpaka nikachoka....!
Now ni miaka 4 imepita.....