Maujinga ujinga tu. Eti wasanii wanatangaza utalii. Hizi projects za Kigwangala ni za kipuuzi sana na ni ubadhirifu wa fedha za umma.
Waziri anayesimama kwenye geti la wizara ya afya kukamata wafanyakazi wachelewaji unafikiri ana strategies gani za maana za kukuza utalii?
Jamaa namwonaga ni immature halafu pretentious hivi.
Hiki alichofanya ni ubadhirifu wa wazi wazi na hii inatokana ulimbukeni,ushamba na ulafi tu. Waziri mzima unahangaika na third-rate actors and musicians plus waandishi wa caliber ya Millard Ayo, wa nini?
Nchi itaendelea kuwa nyuma kwa miaka mingi sana. Viongozi hawana vision,ni kutafuta misifa na kula tu.