Diamond ‘amkaanga’ Dk. Kigwangalla

Diamond ‘amkaanga’ Dk. Kigwangalla

Dah eti steve nyerere na shilole nao wanatangaza utaliii huyo waziri amefirisika kimawazo
Wakajifunze Kenya wanavyo deal na mambo ya utalii!
Sasa unawaita bongo movie wasanii wanao vaa pichu kubw sjui bngo fleva... Ujing Ujing tu

Hpo kna dem lnye msambwanda mkbw kna mtu alikuwa anamvizia ale naye pipi tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigwangala siku nilipogundua akili ndogo,nilikua muhimbili nasubili Dr afike kulingana na clinic yangu ilivokua,sasa ghafla kigwangala anatokea emergency area ndipo nilipoazia kumwona kutokea ICU ,kuna nesi moja alikua mweupe simnene ila anawembamba mzuri kama 5 kuelekea 6,yule nesi kambana kigwangala (waziri) huyu ,sitaki nimalizie naamini ashakula mzigo au kuharibu ndoa yayule nesi...jamaa kavaa jeans kabana file kwapani nadhani likikua na taarifa zauvunjifu wamkono kumbukeni ajali....kuazia ile siku nilijua jamaa anatatizo kichwani,ilikua MOI muhimbili

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ujaeleweka
 
Huyo Kingangwala ni mtu wa mademo...Flabian Matata ni ngoma yake na ndio maana kila mwaka anampa fursa kutembea mbugani.
Anatumia vibaya madaraka yake.


Sent from my iPad using JamiiForums
Wabongo wakipata mwanya wa kukuchana wanakuwa zaidi ya mashetani....
ona kama huyu sasa
 
Aunt ezekiel alienda kutangaza utalii gani tena. Dunia ina mambo
 
Jamaa linapiga hela za serikali kilainiiiiii halafu likiulizwa unaonaje tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana linajibu kirahisi rahisi tu 'VIJANA HAWA-THINK OUT OF THE BOX'

Think of of the box maviiiiiiiiiii.

dodge
Watu wameanza kufukua makaburi _joy__joy__joy_ kosa la  @hamisi_kigwangalla amewaambia wa ( 62...jpg
 
Kigwangala, Kebwe Stephen, orodha ni ndefu...najiuliza hawa madaktari wa binadamu huwa kuna tatizo gani wanashindwa nafasi za uongozi?
 
Kigwangala amefanya mengi Sana Maliasili na utalii,hzi kasfa ndogondogo na wasanii wa bongo sio ishu.
 
HK rafiki yangu, ungekuwa mwena na kuitakia mazuri nchi hii kama unavyosema kila mara ungejiuzulu tu nafasi hii iliheshima yako iwe palepale, ndivyo waungwana wanafanya!
Mengine ulinificha siku ile tunazungumza tukiwa Singida, ile ndoto yako kwenda SH kumbe bado unayo?
Ulisahau mama alikataza hayo mambo majuzi naomba tuongee tena, , ,

120cBzq16_rBK
 
Ah ah huyu jamaa janja janja sana kigwangala halafu anajikuta albert einstein, anod swaziniga, mandela, amber rutty anajikuta rihana jay z maakili mengi
huyu mam samia suluhu,mizengo pinda,huyu dr abas kigwangala hajakamatwa tuu
 
Back
Top Bottom