Diamond ‘amkaanga’ Dk. Kigwangalla

Diamond ‘amkaanga’ Dk. Kigwangalla

Inafikia kipindi ukitafakakari yanayoendelea hapa Tz unatamani Tz ingekuwa gari ushuke tu.
Ila Bro kigwa umepiga sana aisee ipo siku utarudisha kila senti uliyokula. Mark my words

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kutupa mfano wa waziri yupi ambaye alirudisha kila senti aliyokula? Maana huyu Dr. Kigwangala si wa kwanza kula kwa fujo fedha za wananchi.
 
Acheni nongwa bhana kwani wangapi wamepiga pesa za umma?acheni ajilie bhana kwanza ni mkulima wa mpunga mzuri tu.

Pia wako watu humohumo serekalini tena wengi tu waliovaa sura za wema lakini wanazikunguta kuliko maskini ya mungu kigwangwala.

Sidhani kama intension ya kigwangala ni mbaya sana hapana,pia tunauona utalii ukikuwa kwa kasi ya hali ya juu.
#SOMETIME TUSIYAANGALIE MAMBO KWA JICHO LA CHUKI KUPITILIZA LET BE CENTERED.
 
hao wasanii wameshindwa kutangaza movie zao wataweza kweli kutangaza utalii halafu huyu Mrisho Mpoto anajifanya mzalendo kumbe fisadi mkubwa kwanza hana uzalendo aliwahi kuiwakilisha kenya ufaransa kama mkenya kwa sababu wakenya hawakuwa na mtu anayeweza kuzungumza kiswahili vizuri halafu anaoneka ikulu mbele ya rais anahubiri uzalendo
 
hao wasanii wameshindwa kutangaza movie zao wataweza kweli kutangaza utalii halafu huyu Mrisho Mpoto anajifanya mzalendo kumbe fisadi mkubwa kwanza hana uzalendo aliwahi kuiwakilisha kenya ufaransa kama mkenya kwa sababu wakenya hawakuwa na mtu anayeweza kuzungumza kiswahili vizuri halafu anaoneka ikulu mbele ya rais anahubiri uzalendo
aiseee
 
Huyo Kingangwala ni mtu wa mademo...Flabian Matata ni ngoma yake na ndio maana kila mwaka anampa fursa kutembea mbugani.
Anatumia vibaya madaraka yake.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Maujinga ujinga tu. Eti wasanii wanatangaza utalii. Hizi projects za Kigwangala ni za kipuuzi sana na ni ubadhirifu wa fedha za umma.

Waziri anayesimama kwenye geti la wizara ya afya kukamata wafanyakazi wachelewaji unafikiri ana strategies gani za maana za kukuza utalii?

Jamaa namwonaga ni immature halafu pretentious hivi.

Hiki alichofanya ni ubadhirifu wa wazi wazi na hii inatokana na ulimbukeni,ushamba na ulafi tu. Waziri mzima unahangaika na third-rate actors and musicians plus waandishi wa caliber ya Millard Ayo, wa nini?

Nchi itaendelea kuwa nyuma kwa miaka mingi sana. Viongozi hawana vision,ni kutafuta misifa na kula tu.
 
Mwacheni mwamba atafune keki ya taifa, ndio wakati wake huu. Af tusijisahaulishe kwamba Maliasili na Utalii ni mojawapo ya Wizara ngumu sana hata kwa kasisi.

Wizara ambayo Accounts zake zinasoma kwa $$$$$ tu unafanya masihara nn! Picha linaanza jamaa anaishi kwenye VX-R
 
Kwanza Huko kupanda mlima walienda tu kuutia nuksi mlima Kwa uzinzi wao waliofanya
 
Shughuli yoyote tu ikiingiliwa na wasanii wa bongo muvi au bongo fleva lazima isande!...Sasa utalii unawapa hao wapenda sifa ili iweje!>>....




Unamchukua mtu kwenye private jet kwenda na kurudi millioni kadhaa huku mtumishi mfano mwalimu hajapandishiwa mshahara miaka mi4...Dah...hii nchi Kuna wachache wanafaidi!
 
The Minister is entitled to his side of the story, but the scope and scale of the accusations is breathtaking.

The worsening trend of abuse of office by leaders who disregard appropriation rules and procedures is crippling the institutional safeguards against waste and plunder.
 
Kuwatumia hawa wasanii wakibongo kwenye mambo kama haya ni kulitia aibu Taifa tu.. Hawa ambao kutwa kucha kubadili wanaume/wanawake na ngono live live kama biashara yao kuu eti unataka watangaze utalii kimataifa...

Kingwa badili mbinu kwenye kutangaza utalii, hizi movie za kuwalipa hawa hela za bure kalipie matangazo kwenye makampuni makubwa ya ndege, viwanja vya mpira ulaya, NBA pale na USA major soccer league..
 
Hatari hii..Huyu Mrundi hana vision kabisa. Anapenda sifa za kwenye mitandao. Ikute ziara zote hizo na wasanii lengo ni kupiga mapicha na kupost Instagram. Watanzania tufafail wapi kule Mrundi pale Msomali.
Nzega mlitugwisha gete.
 
Back
Top Bottom