Diamond amdhihaki marehemu Kanumba

Simpendi Diamond lakini shutuma hii haina kichwa wala miguu mleta mada usiruhusu sana kichwa chako kufanya kazi unavyotaka
 
Jaman uanzishwaji uzi jamii forum uanze kuzingatia vigezo na masharti ukurupukaji umezidi
 
Kwema ndugu zangu wana jf


Ikiwa ni siku mbili tangu msanii nasibu Abdul almaarufu diamond platnums kuachia wimbo wake unaitwa The one ambao unafanya vizuri Sana ndani ya siku moja umefikisha viewers millions na bado unazidi kutazamwa zaidi.
Lakini ndani ya wimbo huu kuna baadhi ya mistari imepokewa na kutafsiriwa toffauti na mashabiki wakihihusisha na kisa na kifo cha msanii mkongwe wa bongo movie The Great Steven Kanumba.
Baadhi ya mistari hiyo ni Kama ifuatavyo

Nisije kufa kwa mapresha,
Ufungwe,
Iwe kesi.

Hapa inaonesha namna kumbe kilichosababisha ugomvi wa Kanumba na lulu ni usaliti katika mapenzi ambao ulipelekea kifo cha msanii huyo. Baada ya hapo kilichofuata kesi ilimwangukia lulu ambae alifungwa kwa kuuwa bila kukusudia na kwa sasa yuko huru.
Hoja ya mashabiki ni kwamba diamond amemdhihaki Kanumba kwa kueleza kwamba kumbe jamaa alisalitiwa ndio maana alifariki.
Sijui wana bodi mna mtazamo gani kuhusu hili...
Khaaa! tutolee utumb.o wako humu
 
Kabla sijafungua account Jf nilikuwa napita nasoma tu mabandiko kama guest, nlikuwa napita sana jukwaa la jamii intelligence na la siasa nikaona inabidi uwe competent kwelikweli kuanzisha thread huku Jf lakini kadri muda unavyozidi kwenda naona kinyume!
Utoto umekuwa mwingi sana utazani fb
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom