Wa aina hiyo wanatumia kemikali nyingi sana kujipodoa, ukiwa nao unaweza kufa kwa kukosa oxygen.
wivu kwenye kisononoWivu tu huo.
swissme
I don't want to swiss you.
anatafuta PAPUCHI YENYE MENO
Love life la mtu sijui linakuhusu nini!! Hormones zake huyo jamaa, akili yake, mwili wake, tamaa zake, we unakuja unasema mbona madame yuko poa tu, usiingilie private life la jamaa, hata akitoka na bibi kizee...
Sijui kwa nini mimi huwa sikupendi.
SWISSME:
Hahaha why??