Diamond akitafutacho ni kipi ?

Diamond akitafutacho ni kipi ?

Sifa ya mwanamke nitakayempenda nitaijua nitakapoiona.

Mwanamke niliyenaye sasa anafundisha Chuo Kikuu na anasomea Ph.D ya brain science.

Sifa yake tukikaa tuweze kuongelea mambo tofauti kuanzia uhusiano wa ngoma za kiafrika na therapeutic techniques, mchango wa Cardoso katika kunyanyua uchumi wa Brazil mpaka sehemu tofauti za ubongo na kazi zinazofanya kwa kuangalia publications mpya kabisa za "New England Journal of Medicine" huku akinyonga bila kuua.

This doesn't mean kuku wa kienyeji situmii.

Hahahaaa...Japo swali limeulizwa na mwingine..Nimependa ulivyomjibu, zaidi nimependa ulivyomalizia..!!
 
Roho ya mwanaume haikinai kupata varieties
 
Sifa ya mwanamke nitakayempenda nitaijua nitakapoiona.

Mwanamke niliyenaye sasa anafundisha Chuo Kikuu na anasomea Ph.D ya brain science.

Sifa yake tukikaa tuweze kuongelea mambo tofauti kuanzia uhusiano wa ngoma za kiafrika na therapeutic techniques, mchango wa Cardoso katika kunyanyua uchumi wa Brazil mpaka sehemu tofauti za ubongo na kazi zinazofanya kwa kuangalia publications mpya kabisa za "New England Journal of Medicine" huku akinyonga bila kuua.

This doesn't mean kuku wa kienyeji situmii.

hahahahahahaha haki ya nani
 
Kiranga umeharibu kweli....unataka masai dada akwambiaje ndio umuelewe??ona sasa umepewa penalti hapa wewe umebutua nje...ebu mfuate masai dada pm huko ukarekebishe hilo kosa.

kiranga naomba nikuulize swali kama utalijibu sawa usipolijibu sawa
NIAMBIE SIFA ya mwanamke unayempenda,utakaempenda au ulienae
 
Kiranga umeharibu kweli....unataka masai dada akwambiaje ndio umuelewe??ona sasa umepewa penalti hapa wewe umebutua nje...ebu mfuate masai dada pm huko ukarekebishe hilo kosa.

Masai dada nina mtoto naye mmoja tayari.

Tunajuana.

Anaulizia kwa sababu anajua namtafutia mke mdogo.
 
Project inaendelea
 
Attachments

  • 1419192324933.jpg
    1419192324933.jpg
    35.1 KB · Views: 178
Le projectile
 
Attachments

  • 1419192398928.jpg
    1419192398928.jpg
    24.8 KB · Views: 178
Back
Top Bottom