Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,733
Mi sijaamini kama ni chibu aisee sio kwa flow hii.
Huu ni uchochezi sasa kwa kweliDis kwa nani?? Waambie dada zao kariakoo waje ulaya!!
Hehehe n mistari mwendo wa kucheza na vinaHuu ni uchochezi sasa kwa kweli
Hahaha wabongo "I'm all way up".Meneja kasema weekend hii inaachiwa ful
Aachie tu mkuu...Meneja kasema weekend hii inaachiwa ful