Diamond ahukumiwa kwenda Jela miezi 6; alipa faini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diamond ahukumiwa kwenda Jela miezi 6; alipa faini!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Candid Scope, Jan 9, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Msanii Diamond na mcheza show wake wakiwa nje ya mahakama ya Mwanzo Iringa mjini  MSANII nyota wa muziki wa Kizazi kipya Diamond na wenzake wamekubali kosa la kumshambulia mwandishi Bw. Francis Godwin na kuhukumiwa kwenda jela MIEZI 6 Kila mmoja ama kulipa faini shilingi 50,000 kwa Kila mmoja ikiwa ni Pamoja na kulipa sh. 30,000 kwa Godwin.

  Watuhumiwa wamelipa faini japo Francis Godwin hajapokea fedha hiyo na kukusudia kukata rufaa katika mahakama ya juu zaidi
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  hii habari haina mantiki kwetu kama ameshalipa faini
   
 3. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Justice served vp akate rufaa au alitegemea kamshtaki jay z ktk mahakama ya usa apate mapene mengi!!!!
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kuna kitu cha kujadili hapa. Wasanii ni watu muhimu katika fani yao kwa jamii. Wanachoshauri , kuhimiza, kutahadhalisha na mengineyo wanatakiwea kuwa mfano kwa matendo yao.

  Vyombo vya habari vinafanya kazi kubwa pia kukuza na kutangaza kazi za wasanii, iweje waanza kuvishambulia wakati vyombo hivyo vikiwa kazini? Ni swa na polisi anapolinda usalama wako we unamsahambulia..

  Cha ajabu hakuna taarifa ya kulipa gharama za uharibifu wa vyombo vya mwanahabari, wamepata adhabu ya kifungo cha mielzi 6 kama hawatalipa faili hiyo. Inatakiwa walipe gharama ya vifaa vya mwandishi walivyoviharivu, ndio maana anakusudia kukata rufaa mahakama ya juu zaidi.
   
 5. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Ujinga mtupu kwenye hii thread! Wewe Candidscope kama ndo francisgodwin tafuta namna nyingine ya kuutangaza mtandao wako
   
 6. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,244
  Likes Received: 3,787
  Trophy Points: 280
  Taarifa zinazagaa mitandaoni kuwa yule dogo mwenye mikogo bingwa wa kujikoboa amefungwa jela miezi 6 leo!
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Unamtia gundu tu dogo
   
 8. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond' na wenzake wamekubali kosa la kumshambulia mwandishi Francis Godwin na kuhukumiwa kwenda jela miezi sita kila mmoja ama kulipa faini ya shilingi elfu hamsini (50,000/=) kwa kila mmoja ikiwa ni pamoja na kulipa shilingi elfu thelathini (30,000/=) kwa Godwin.

  Watuhumiwa wamelipa faini hiyo japo mwanahabari huyo hajapokea fedha hiyo na anakusudia kukata rufaa katika mahakama ya juu zaidi
   
 9. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Alikuwa na kesi huko Iringa
   
 10. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Duuuh Kama ni kweli...ataharibikiwa sana...
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  alikua afungwe miezi 6 au alipa faini 50,000/-. kalipa hela akasepa. Mia
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Kalipa faini
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  afungwe bana tulikamu lile dubwana lake ....nagongana nalo kila siku kwenye chipsi pale kwa hamijei madukani...sasa dogo anakaba sana ....apigwe mvua watu tujipindue kama DEMBA BA....
   
 14. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Duh!... Hii kesi si walitaka kuimaliza nje ya Mahakama?
   
 15. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Dimond na mwenzake leo iringa wamehukumiwa kwenda jela miaka 6 kila mmoja ama
  kulipa fine Sh 50,000 kila mmoja nakumlipa fidia Francis.
  Walituhumiwa kwa kumpiga na ku mwaribia vifaa vyake siku ya 31/12/2011 Iringa.
  Source Francis godwin blog.
   
 16. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #16
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huyu muandishi wa habari matapishi kabisa....yeye ni mlalamikaji na jamuhuri ndo wenye kesi sasa anakata rufaaa kwa shangazi yake au ...
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ,hahahahahah
  ukimtaja Demba Ba,kuna watu wanakosa normal blood circulation
   
 18. Geraldo DaVinci

  Geraldo DaVinci JF-Expert Member

  #18
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 277
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hajafungwa kalpa faini
   
 19. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #19
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Duhh!!! Wema Sepetu naye anasemaje?
   
 20. J

  JALUO Senior Member

  #20
  Jan 9, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Siwezi kuishangaa hukumu hiyo, kwani ndizo mahakama zetu na mahakimu tulionao. Kamera kwa malipo ya sh 30,000 ni haki kwa mahakama zetu. Mahakimu wanajidhalilisha wenyewe
   
Loading...