Diamond afungiwe au afukuzwe nchi

Diamond afungiwe au afukuzwe nchi

Njaa zinasumbua unawawaza watu wakiotusua kimaisha we unabwabwaja tu amka tafta salari.........watu hawalalii ckuizi.......mbwiga wewe.....
 
Na wanaume wa fanyaje? Kamshauri Idri sultan kwanza
Nimesema sio diamond tu,ni kila msanii anaenda kinyume na maadili ya kitanzania.ni wajinga na hawajielewi.ni bora wafate maadili.kwani asipkaa uchi kazi zake haziuziki??stupid people
 
Mkuu, naona unajipa hasira zisizokua za lazima.

Kama unajua video za diamond hazina maadili basi acha kuziangalia

Alafu jifunze kupuuzia baadhi ya mambo. Ukimchukulia Giggy money au Amber Lulu kama mama yako eti kisa na wao ni wanawake, utaishia kupandisha presha bure!
 
Mbona dada shonza hajaliona hilo!!??
Wewe ni nani kwenye nchi hii?
 
Acha watu watafute ugali ndugu hakunahaja ya kutokwa na povu
 
Unapendezwa au kufurahi kuona matako na matiti ya mwanamke hadharani? Kumbuka ndo alokuzaa.acha mawazo ya karne ya 5 .ni lazima tutetee maadili yetu ipasavyo
Hivi kati ya Giggy Money na Bushmens & womens wa Kalhari Namibia nani wanakaa uchi,?

kabla ya karne 15 waafrika wengi walikuwa wakisitiri sehemu za siri tu (uume & uke) basi ila makalio na matiti yaliachwa wazi

hivyo unavyojifanya mnazi wa tamaduni zetu nakushangaa sana
 
ukikataza hizo video za kina diamond ukataze tamthilia mbal mbali zinazorushwa na tv mbal mbal wanawake wakiwa uchi.! huwa sion maana ya kukataza hizo video wakati kuna movie na episode kibao mtaaan pamoja na video za nje zinaangaliwa. sa sijui utalindaje maadili. waachen wafanye tu Sababu hata kuwakataza haitasaidia
 
Nimesema sio diamond tu,ni kila msanii anaenda kinyume na maadili ya kitanzania.ni wajinga na hawajielewi.ni bora wafate maadili.kwani asipkaa uchi kazi zake haziuziki??stupid people
Huwezi kulazimisha watu wafate maadili unayotaka wewe. Ingekua wamekulazimisha kuangalia kazi zao sawa ila hujalazimishwa umeangalia mwenyewe.
 
Nimesema sio diamond tu,ni kila msanii anaenda kinyume na maadili ya kitanzania.ni wajinga na hawajielewi.ni bora wafate maadili.kwani asipkaa uchi kazi zake haziuziki??stupid people
Ungejua hayo kwanza toka katika mitandao ya kijamii,usitazame TV wala kushiriki chochote cha tecknolojia. Hutaona hayo
 
kaanzishe kanisa lako uweke hayo masharti au yaweke kwenye familia yako
Hello floks.naandika Uzi huu nikiwa na hasira sana juu ya kuporomoka kwa maadili hapa Tz.wasanii kama diamond,alikiba,wenye mambo ya kihuni huni kama wema sepetu,gigy,na mavideo vixing wengine ni lazima wachukuliwe hatua kali kama hizo.Tulitegemea wasanii wakubwa waweze kutusaidia kushape nchi lakini utakuta wao ndo wakwanza kuharibu maadili ya kitanzania.
Diamond kufanya collabo na watu wa marekani kusikyfanye ukengeuke,mnakaa uchi kwenye video zenu,mnadhalilisha wanawake .utakuta mwanamke yuko uchi wa mnyama na matako bandia!!why ,for what??.mdogo angu mond you have to change otherwise you will be in trouble.

Mimi ningependekeza hatua zifuatazo zichukuliwe

1) Waitwe wote waonywe na wasaini kiapo cha kutokurudia huu ujinga na udhalimu wa maadili.

2)Wafutiwe leseni zao za biashara kabisa, bora wakalime

3) Akaunti zao za instagram,facebook,twiter nk ZIFUTWE PERMANENTLY.

4)WAFUKUZWE NCHI ILI WAKAFANYE UHUNI WAO HUKO WAENDAKO.
l
 
Kwani hao ‘ wanawake’ unaowasemea walishikiwa bunduki kwenda kukaa matako wazi katika hizo nyimbo?! Hizo ni fursa za watu kupiga mtonyo, we umekalia kelele tu
 
Back
Top Bottom