Diamond afungiwe au afukuzwe nchi

.ulitaka rick.ross avae kanzu mkuu afu wale wadada .wavae magauni kwenye .bwawa ĺa kuogelea?
 
Hello floks.naandika Uzi huu nikiwa na hasira sana juu ya kuporomoka kwa maadili hapa Tz.wasanii kama diamond,alikiba,wenye mambo ya kihuni huni kama wema sepetu,gigy,na mavideo vixing wengine ni lazima wachukuliwe hatua kali kama hizo.Tulitegemea wasanii wakubwa waweze kutusaidia kushape nchi lakini utakuta wao ndo wakwanza kuharibu maadili ya kitanzania.
Diamond kufanya collabo na watu wa marekani kusikyfanye ukengeuke,mnakaa uchi kwenye video zenu,mnadhalilisha wanawake .utakuta mwanamke yuko uchi wa mnyama na matako bandia!!why ,for what??.mdogo angu mond you have to change otherwise you will be in trouble.

Mimi ningependekeza hatua zifuatazo zichukuliwe

1) Waitwe wote waonywe na wasaini kiapo cha kutokurudia huu ujinga na udhalimu wa maadili.

2)Wafutiwe leseni zao za biashara kabisa, bora wakalime

3) Akaunti zao za instagram,facebook,twiter nk ZIFUTWE PERMANENTLY.

4)WAFUKUZWE NCHI ILI WAKAFANYE UHUNI WAO HUKO WAENDAKO.
Ungeandika wasanii wakubwa wachukuliwe hatua ingependeza zaidi,sasa umeona kumtumia diamond kuelezea wivu wako itakuwa njema sana,diomond hana akili ndogo kama zako na wala hautakuja kufanana naye
 
Hello floks.naandika Uzi huu nikiwa na hasira sana juu ya kuporomoka kwa maadili hapa Tz.wasanii kama diamond,alikiba,wenye mambo ya kihuni huni kama wema sepetu,gigy,na mavideo vixing wengine ni lazima wachukuliwe hatua kali kama hizo.Tulitegemea wasanii wakubwa waweze kutusaidia kushape nchi lakini utakuta wao ndo wakwanza kuharibu maadili ya kitanzania.
Diamond kufanya collabo na watu wa marekani kusikyfanye ukengeuke,mnakaa uchi kwenye video zenu,mnadhalilisha wanawake .utakuta mwanamke yuko uchi wa mnyama na matako bandia!!why ,for what??.mdogo angu mond you have to change otherwise you will be in trouble.

Mimi ningependekeza hatua zifuatazo zichukuliwe

1) Waitwe wote waonywe na wasaini kiapo cha kutokurudia huu ujinga na udhalimu wa maadili.

2)Wafutiwe leseni zao za biashara kabisa, bora wakalime

3) Akaunti zao za instagram,facebook,twiter nk ZIFUTWE PERMANENTLY.

4)WAFUKUZWE NCHI ILI WAKAFANYE UHUNI WAO HUKO WAENDAKO.
Ngoja mawakil waje
 
Kumbe una hasira? Tulia ili upunguze hasira halafu uandike mkuu.
 
Ni kweli unachokiongea lkn huwezi zuia mafuriko kwa mikono. Nguvu inayovunja maadili ni kubwa kuliko inayojenga. Jipange wew na Familia yako tu ndo unaweza kuicontrol
 
Nimesoma michango ya wengi naona jinsi wanavyomshambulia aliyeka mada hii,

Na hii inaonyesha ni kwa kiwango gani taifa limeharibika sana kimaadili ujinga unaofanywa na wasanii Hawa wa mziki na waigizaji umeharibu jamii kwa kiwango kikubwa na hili linajihidhihirisha wazi wazi kwa jinsi linavyopata watetezi wengi,
. Wote wanaotetea maovu haya ni waathirika wa mda mrefu wa mtindo huu unaoitwa wa kisasa wa maisha.

Ninachokijua ni kuwa yanayotokea ktk kizazi hiki hayatokei kwa bahati Mbaya ni mpango wa shetani kuifanya dunia na wanadamu kumwabudu yeye,
mwisho dunia itageuka kuwa kama Sodoma na Gomora zilizotekezwa na Mungu,

Mwenye akili ni yule atayekubali kubadili mtindo wake wa maisha kuishi kama Mungu anavyotaka na si vile yeye anataka.

MUNGU HAKUTUUMBA TUISHI TUNAVYOTAKA, BALI AMETUUMBA TUISHI ANAVYOTAKA YEYE.

KWENDA KINYUME NA HIVYO NI KUJIPELEKA MWENYEWE KWENYE SHIMO LA UHARIBIFU.
 
Mkuu punguza hasira, pendekezo lako nama 1 halilandani na mapendekezo yaliyofuata yani 2,3, na 4. Hilo namba 1 ni muhimu zaidi kwasababu halijawahi kufanyika, ikishindikana ndio yafuate hayo mengine. Sitetei kuporomoshwa kwa maadili.
 
Hello floks.naandika Uzi huu nikiwa na hasira sana juu ya kuporomoka kwa maadili hapa Tz.wasanii kama diamond,alikiba,wenye mambo ya kihuni huni kama wema sepetu,gigy,na mavideo vixing wengine ni lazima wachukuliwe hatua kali kama hizo.Tulitegemea wasanii wakubwa waweze kutusaidia kushape nchi lakini utakuta wao ndo wakwanza kuharibu maadili ya kitanzania.
Diamond kufanya collabo na watu wa marekani kusikyfanye ukengeuke,mnakaa uchi kwenye video zenu,mnadhalilisha wanawake .utakuta mwanamke yuko uchi wa mnyama na matako bandia!!why ,for what??.mdogo angu mond you have to change otherwise you will be in trouble.

Mimi ningependekeza hatua zifuatazo zichukuliwe

1) Waitwe wote waonywe na wasaini kiapo cha kutokurudia huu ujinga na udhalimu wa maadili.

2)Wafutiwe leseni zao za biashara kabisa, bora wakalime

3) Akaunti zao za instagram,facebook,twiter nk ZIFUTWE PERMANENTLY.

4)WAFUKUZWE NCHI ILI WAKAFANYE UHUNI WAO HUKO WAENDAKO.
Hatuko karne ya 19 sasa hivi...Ukiona wanayofanya yanakukera usiwafuatilie, Maadili my foot
 
Unapendezwa au kufurahi kuona matako na matiti ya mwanamke hadharani? Kumbuka ndo alokuzaa.acha mawazo ya karne ya 5 .ni lazima tutetee maadili yetu ipasavyo

Kweli we punda kama amekuzaa mbona unalala nae kitanda kimoja. shwain wewe toa hoja ya akili
 
Unataka kutibu kukohoa kulikosababishwa na Kifua Kikuu cha UKIMWI wa malaya masikini asiye na elimu kwa kutumia Cofta.

Wakati huelewi kikohozi si ugonjwa wa msingi wala mzizi wa tatizo, hapo naada ya kikohozi kuna Kifua Kikuu, kuna UKIMWI, kuna umalaya, kuna umasikini, kuna kukosa elimu.

Maadili hayawekwi kwa sheria kali tu. Yanawekwa kwa hekima na akili.
 
Hello floks.naandika Uzi huu nikiwa na hasira sana juu ya kuporomoka kwa maadili hapa Tz.wasanii kama diamond,alikiba,wenye mambo ya kihuni huni kama wema sepetu,gigy,na mavideo vixing wengine ni lazima wachukuliwe hatua kali kama hizo.Tulitegemea wasanii wakubwa waweze kutusaidia kushape nchi lakini utakuta wao ndo wakwanza kuharibu maadili ya kitanzania.
Diamond kufanya collabo na watu wa marekani kusikyfanye ukengeuke,mnakaa uchi kwenye video zenu,mnadhalilisha wanawake .utakuta mwanamke yuko uchi wa mnyama na matako bandia!!why ,for what??.mdogo angu mond you have to change otherwise you will be in trouble.

Mimi ningependekeza hatua zifuatazo zichukuliwe

1) Waitwe wote waonywe na wasaini kiapo cha kutokurudia huu ujinga na udhalimu wa maadili.

2)Wafutiwe leseni zao za biashara kabisa, bora wakalime

3) Akaunti zao za instagram,facebook,twiter nk ZIFUTWE PERMANENTLY.

4)WAFUKUZWE NCHI ILI WAKAFANYE UHUNI WAO HUKO WAENDAKO.
Ukiacha matamshi ya Trump,kuhusu Africa,na watu weusi,jambo moja la kushangaza sana,ambalo wa Africa,na Wa Arabs,huwa wanalishupalia sana,na kupoteza muda mwingi kulifatiria,ni watu wanachoamua kufanya na miili yao,ama kuwa mashoga,ndoa za jinsia moja,mavazi watu waamuayo kuvaa,mafupi,au yanayoonyesha maungo yao,
Sasa tujiulize,vijana wenye tabia za kishoga waliopo mtaani,wadada wanaovaa nguo fupi,wanaume wanaosuka nywele,wasagaji, na majizi ya escrow,Richmond,waliongia mikataba mibovu ya madini,nani kati ya makundi haya mawili ambae anahatarisha ustawi wa jamii!
Kwanini hatupigi kelele kujua,anayenyonga ndugu zetu,na kuwatia kwenye viroba,na kuwatupa baharini,ukiukaji wa haki wanaofanyiwa mahabusu,
Kwanini hatuoji hawa wasomi wetu,waliosoma kwa kodi zetu,wanafanya nini kuboresha maisha ya jamii,kwanini ukienda hospitali za umma,unakuta foleni kubwa,ni lini na sisi tutatengeneza gari,simu,radio,je tunawanasayansi,lini wataenda mwezini?lini tutajitoshereza na chakula,kwanini sukari iuzwe 3000Tsh,na sio 500Tsh,walimu,polisi kwanini hawana makazi bora,kuna haja gani na kuwa na mikoa zaidi ya 20,wabunge 365,mawaziri zaidi ya 30?
Sisi tunaishia kuangalia eti mdada amevaaje,?kisingizio tunatunza maadili,maadili wakati tuna njaa!!
Ndio maana tumeitwa Shithole country (nchi zinazo fanana na mashimo ya choo )
 
iambie serikari yako kama inataka kulinda hadhi heshima na tamaduni za tanzania wazuie filam za nje pamoja na nyimbo zisipigwe katika televishen zetu wala redio
 
Back
Top Bottom