Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,059
Unajua maana ya producer,au unaongea kama dada ambae yupo na heat kalis2kizzy nae ni producer?![emoji44] kuna tofauti kubwa kati ya "producer" na "beat maker"...na hawa ndo wanaoharibu mziki we2..enzi za kina pfunky%majani huwez kukuta uchafu huu wanaotuletea ss
Tutolee hapa muwashoMchango wangu kuwachagulia baba jiwe kwa ajili ya maendeleo zaidi. Tumetoka kuiba nyimbo hadi kuhamia kuwatumia watoto aiseee kijana upo vizuri
KalaleKila wimbo anaomba tu aiseee
Linajiuza na ndo mana limepigwa banHellow there heshima pesa,shikamoo kelele tu.
Alijielewi linumbisa tutalifanyiziaWaaow mkizidiwa mnakuja clean kujidai wasafi ee. Umeona post yangu pekee?
Wewe umekufa kimzikiDiamond amefilisika kimziki
Acha matusi bwege mkubwa kwani hauzaiAtulize maza ako
Sasa ule ni wimbo au pambio LA mashoga wa Mombasa kwa amina shosti yake come onSikilizeni wimbo mpya wa Alikiba unaitwa Mshumaa ndo mtajua nani msanii nani uchafu
Sasa kati ya wewe na alikiba mnautofauti gani...?,maana nyote ni vimburu kengeAcha kumfananisha Alikiba na upumbavu wewe.
Mshumaa ni balaa. Huyu jamaa sio mchezo japo hana mbinu za biashara
Hii ni copy and paste 😂 😂 😂Baba lao ni copy ya ngoma ya Naira Marley inaitwa Soapy go YouTube andika soapy by Naira Marley utaona wizi wa huyo boss wa WANAFKI CLASSIC BABY
Daaaaaaah kumbe shule inaumuhimu wake,na hao wanafunzi wanapta tabu sana kama wewe ndo mwalimu wao yaani wamekula loss,rudi memkwa kijana wangu.Hii ni copy and paste [emoji23] [emoji23] [emoji23]
O t'ẹsẹ'le bọ.s2kizzy ni mshikaji wake na producer Wa soapy ya naira Marley jamaa anaitwa REXXIE , S2 kizzy alimuomba airudie iyo bit kivingine , rexxie akakubali , mond alienda studio kwa s2kizzy akakuta hii bit akaipenda ndiyo hakamuomba s2kizzy aitungie vocal ndio kuto hii nyimbo BABALAO ,
#source=s2kizzy
msiwe mnakurupuka na vitu msivovijua
Domo ndo kawaida yake. Hana wimbo wa ubunifu wake
Safi sana mkuu, kwa kuwapa evidence manyumbu hao..s2kizzy ni mshikaji wake na producer Wa soapy ya naira Marley jamaa anaitwa REXXIE , S2 kizzy alimuomba airudie iyo bit kivingine , rexxie akakubali , mond alienda studio kwa s2kizzy akakuta hii bit akaipenda ndiyo hakamuomba s2kizzy aitungie vocal ndio kuto hii nyimbo BABALAO ,
#source=s2kizzy
msiwe mnakurupuka na vitu msivovijua
Iba na wew tuone sio mtu kufanya kitu kaiba wabongo bana alieturoga alikufaBaba lao ni copy ya ngoma ya Naira Marley inaitwa Soapy go YouTube andika soapy by Naira Marley utaona wizi wa huyo boss wa WANAFKI CLASSIC BABY
---------------------
Nyimbo ya Diamond Platnumz
Nyimbo ya Naira Marley
Unazungumzia beat haya zungumzia na melody wewe USIYEKURUPUKA.s2kizzy ni mshikaji wake na producer Wa soapy ya naira Marley jamaa anaitwa REXXIE , S2 kizzy alimuomba airudie iyo bit kivingine , rexxie akakubali , mond alienda studio kwa s2kizzy akakuta hii bit akaipenda ndiyo hakamuomba s2kizzy aitungie vocal ndio kuto hii nyimbo BABALAO ,
#source=s2kizzy
msiwe mnakurupuka na vitu msivovijua
WCB km ccm ukiishabikia lazima ujitoe akili kidogo.Safi sana mkuu, kwa kuwapa evidence manyumbu hao.
Kwa hiyo hajaiba au?Iba na wew tuone sio mtu kufanya kitu kaiba wabongo bana alieturoga alikufa
Jamaa ww ni mfuatiliaji mzuri w muziki?.. Maana naona unarukaruka haya huelewi unazungumzia nn.Vijana hamna elimu ya mziki kabisa mmekalia ushabiki maandazi..idiots!!..hivi mmefikia hatua mpaka sampling nayo mnahoji!?..ok fine lets go Alikiba kimasomaso ni yake? mbona mambo ya kawaida sana
ila kwakuwa mna chuki binafsi mnajitia wajuaji..hivi unajua wimbi wa bryan Adams "everything i do" umefanyiwa sampling,na covers as well Remake ngapi?