kaka-blaza
Member
- Nov 7, 2019
- 96
- 141
kumbe ni wewe sishangai,, japo umeongea ukweli ila wewe siku zote huwa upo dhidi ya diamond.. sijui kwanini humpendi huyo kijana. sijawahi kuona umemsifia hata afanye jema liBaba lao ni copy ya ngoma ya Naira Marley inaitwa Soapy go YouTube andika soapy by Naira Marley utaona wizi wa huyo boss wa WANAFKI CLASSIC BABY
Ndomana hujapata like hata moja,maana umeandika utumbo umeoambatana na ugoro shubamiiit mkubwa.Baba lao ni copy ya ngoma ya Naira Marley inaitwa Soapy go YouTube andika soapy by Naira Marley utaona wizi wa huyo boss wa WANAFKI CLASSIC BABY
Buni wa kwako basi tukusikie na wewe [emoji16][emoji16][emoji16]Domo ndo kawaida yake. Hana wimbo wa ubunifu wake
Buni wa kwako basi tukusikie na wewe [emoji16][emoji16][emoji16]
Baba lao ni copy ya ngoma ya Naira Marley inaitwa Soapy go YouTube andika soapy by Naira Marley utaona wizi wa huyo boss wa WANAFKI CLASSIC BABY
Domo ndo kawaida yake. Hana wimbo wa ubunifu wake
Wewe wasema[emoji23][emoji23][emoji23]panic button
Usijichoshe mkuu kueleza, asiyejua maana....[emoji850][emoji850][emoji850].s2kizzy ni mshikaji wake na producer Wa soapy ya naira Marley jamaa anaitwa REXXIE , S2 kizzy alimuomba airudie iyo bit kivingine , rexxie akakubali , mond alienda studio kwa s2kizzy akakuta hii bit akaipenda ndiyo hakamuomba s2kizzy aitungie vocal ndio kuto hii nyimbo BABALAO ,
#source=s2kizzy
msiwe mnakurupuka na vitu msivovijua
mkuu mapenzi yasizidi kiasi cha kushindwa kukubali msanii anapokosea....diamond anakosa creativity na sio mara ya kwanza anacopy nyimbo za watu
Yaani hizi chuki sijui zinatoka wapi napata picha kwanini Tanzania kuna wachawi wengi kumbe huwa wanaanzia udogoni kabisa...mtu kama umeamua umshabikie Kiba ya nini kuleta chuki zisizo na msingi kwa mtu mwingine..halafu mungu alivyo wa ajabu sasa chuki zao kila siku ndizo zinazomuinua Mond wanashindwa kukubali kwamba huyu jamaa ndio baba lao wanabaki kuumia moyoni tukumbe ni wewe sishangai,, japo umeongea ukweli ila wewe siku zote huwa upo dhidi ya diamond.. sijui kwanini humpendi huyo kijana. sijawahi kuona umemsifia hata afanye jema li
Kalike Numbisa ambaye wameshikiana akili roho zinawauma wakiona mafanikio ya kijana mdogo ikiwa wao na bosi wao hali mbaya sana mpaka inafikia hatua bosi anakuwa na stress anatukana hovyo tu mitandaoni...Ndomana hujapata like hata moja,maana umeandika utumbo umeoambatana na ugoro shubamiiit mkubwa.
Ila ujue zimemtoa na leo yuko next level
Kalike Numbisa ambaye wameshikiana akili roho zinawauma wakiona mafanikio ya kijana mdogo ikiwa wao na bosi wao hali mbaya sana mpaka inafikia hatua bosi anakuwa na stress anatukana hovyo tu mitandaoni...
Wewe wasema
Domo ndo kawaida yake. Hana wimbo wa ubunifu wake
Siku ukiingizwa Madale nadhani utatota na kauli tofauti maana unamchukia jamaa hadi unaboaDomo ndo kawaida yake. Hana wimbo wa ubunifu wake
Mzee ulivyobweka utafikiri umeibiwa danga.Baba lao ni copy ya ngoma ya Naira Marley inaitwa Soapy go YouTube andika soapy by Naira Marley utaona wizi wa huyo boss wa WANAFKI CLASSIC BABY