Unamjua kwa experience ipi kwamba hagawi vyeo kama njugu? Kama aliweza kugawa nyumba kama njugu, hata vyeo akiwa navyo atavigawa tu.nimjuavyo magufuli hagawi vyeo kama njugu.ukiendekeza fadhila kwenye uongozi wa umma lazima uchemke.
Maiti mnatembea nayo,na haiingii ikulu never,Magufuli ndo Rais
Unamjua kwa experience ipi kwamba hagawi vyeo kama njugu? Kama aliweza kugawa nyumba kama njugu, hata vyeo akiwa navyo atavigawa tu.
Nataka kumkumbusha mgombea asije akamsahau Dialo kwa mchango wake haswa star tv.
Maiti mnatembea nayo,na haiingii ikulu never,Magufuli ndo Rais
Rais Jk leo amesemwambia Magufuli kuwa asimusahau Antony Diallo kwa kuwa star TV imeibeba ccm pasipo mfano! Asimsahau kivipi?

Dokta Magufuli hakubebwqa na CCM wala media yoyote, alijibeba mwenyewe sawa tu na mgombea binafsi tena akiwa ameibeba ccm nzito kabisa hata mbeleko ikitaka kukatika