Diallo wa Star Tv kutosahulika!

Diallo wa Star Tv kutosahulika!

Amchague ka mbunge wa kuteuliwa, ampe ka-uwaziri wa habari leo. We wadhani aloyafanya Diallo ni machache?? CCM hoyeee. Naipenda sana ccm kwa kurudisha fadhila. Ndo maana jeshi lapolisi wanawahusudu. Hayoooo makumbukumbu yenu tu. Uteuzi hata kama bado siku 1 atamteua
Sidhani kama alitoa tv yake ifanye kampeni bure. Kumbuka ccm imetumia fedha nyingi katika kampeni kama ilivyokua kwa ukawa. Star tv ilichaguliwa ifanye kampeni za ccm na kinyume na inavyodhaniwa inawezekena Diallo kavuta hela nyingi sana kwenye hizo pesa.
 
star tv kuanzia jumatatu hakuna matangazo.ni adhabu ya miezi mitatu. wataisoma namba....
 
Rais Jk leo amesemwambia Magufuli kuwa asimusahau Antony Diallo kwa kuwa star TV imeibeba ccm pasipo mfano! Asimsahau kivipi?
JPM amefunga vituo vya StarTV na Radio Free Africa kwa kutolipa kodi na tozo mbali mbali
 
Rais Jk leo amesemwambia Magufuli kuwa asimusahau Antony Diallo kwa kuwa star TV imeibeba ccm pasipo mfano! Asimsahau kivipi?
DIALLO ALIVYOKUWA ANACHOCHEA NCHI INGEPARANGANA NGOJA AHONJE SHUBIRI KIDOGO
 
Star TV nayo si ipo kwenye mkumbo wa simamisho la miezi mitatu la TCRA?
 
Back
Top Bottom