Diallo amlipua Lowassa

Nimekaa najiuliza hivi huyu aliyeandika hii habari ni Dialoau la?Kama kweli ni Dialo basi Rais alifanya makosa makubwa sana kumchaguaDiallo kuwa Waziri wa Nchi hii wakati ule.Pia niwapongeze wananchi wa ILEMELAkwa kumtambua na kujua uwezo mdogo wa kiuongozi alio nao na hatimae kumpigachini kwenye ubunge.Hebu niwaulize wana CCM wenzangu hivi Mwenyekiti wa CCM Mkoa tena wa Mwanza na mjumbe wa NEC anawezaje kuandika vitu vya ainahii?Hivi walie waliomchagua kumpa uenyekiti waliangalia kitu gani hasa? Maanaanatia aibu sana mpaka naona aibu.Nilitegemea Diallo kutokana na utajiriwake,nafasi alizo nazo ndani ya Chama na alizowahi kushika asingehangaikakabisa na Siasa za mitandaoni kuandika vitu ambavyo havitamsaidia kuongeza aukukuza ukubwa wa biashara zake Zaidi ni za kujionyesha yuko upande wa kundigani katika kinyang’anyilo cha Urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Ndugu zangu Dialo ni mjumbe wa NEC kikao ambacho hupitishamajina 5 ya wagombea na katika hali ilivyo ndani ya kikao hicho pia kunawajumbe wa NEC wengi sana wanao muunga mkono Lowasa katika mbio za kuutakaUongozi wa nchi yetu.Tujiulize swali kutatokea nini ndani ya kikao hicho mwaka2015? Kama viongozi wenyewe ndio kama Dialo si watapigana ngumi na mwisho wakekusambaratika bila kufikia muafaka?
Dialo kama mjumbe wa NEC atajisikiaje au atafanya nini iwapoMh Lowasa ndio atachaguliwa kupeperusha bendera ya CCM na kuwa Rais wa 5 waTanzania? Sisi yetu ni macho na masikio ila siku hiyo itafika na wale wotewaliojiapiza kwenye mitandao au vyombo vya habari tutawaona maana huwezikujifanya wewe ndio mungu na unayoyawazawewe ndio sahihi.
Kwa hali ilivyo watu kama Diallo wamemuongezea umaaurfu sanaMh Lowasa na wananchi wengi sana wanaamini Lowasa ndio atakayeisaidia Tanzaniakwa sasa kwani mti wenye matunda mazuri ndio hushambuliwa siku zote.Hebu nduguzangu kesho kila mmoja wetu ajaribu kufanya research ya kuuliza watu watano 5ni nani wanataka awe Rais wa Tanzania? Majibu mengi yatakuwa ni Mh LOWASA nikwa nini? Dialo amka unajidhalilisha sana.
Kosa kubwa afanyalo Dialo ni kufikiri yeye ni kila kitu Mkoawa Mwanza yaani wajumbe wote wa Halmashauri kuu na Mkutano mkuu kutoka kanda yaziwa wanamsikiliza yeye akisema tumpigie kura Fulani basi wotewanafuata,anajidanganya sana kwani wapiga kura wote wa 2015 wana akili sana nani tofauti sana na mwaka 2010 au 2005.Dialo akae asubiri atapata majibu ya kandaya ziwa ndio atajua yeye ni mwenyekiti wa Chama tu wala hana mamlaka yakuwapangia wana CCM wampitishe nani.
Halafu najiuliza hivi anayemtuma Dialo afanye hayaanayofanya anajisikia furaha au anajiharibia? Anakisaidia chama kujenga UMOJAau Kujenga UADUI? maana lazima anajulikana.
 
Ndugu zangu kuna kitu nimeanza kujifunza na kukielewavizuri, na ukikiangalia au kukifuatilia kwa umakini utakigundua.Wengi wa wanaompingaLowasa katika safari yake ya katumaini kwa watanzania ni wale ambao wanahisi LOWASAakiupata Urais wa nchi yetu basi wao hawatapata nafasi yoyote ya uteuzi kwaniwanahisi LOWASA atakuja na safu ya viongozi yenye 90% watu wapya kabisa naambao hawakuweza kupata nafasi toka kwa viongozi waliopita na waliopo.Sasa hofuyao ni kukosa hizo nafasi ndio maana kila kukicha ni kumsema au kumuandikavibaya mh Lowasa.Wengine wanasubutu hata kupotosha kwa kutoa habari za uongo zaafya yake wakifikili watanzania wa leo hawajui nini kinaendelea katika nchiyetu.Mungu ndio anayejua nani atakuwa Rais na nani hatafika hata hicho kipindicha uchaguzi.
Pia nimegundua kundi linalompinga Lowasawanajaribu sana kuwachonganisha Rais Kikwete na Mh Lowasa kwa kusema maneno manenoili Rais Kikwete awe upande wa kundi lao katika mbio za kuwania uteuzi.Mimi nakumbuka kauli ya JKinayosema "akili za kuambiwa changanyana zako" kabla ya kufanya uamuzi.Dialo alitakiwa kuchanganya na zake iliafanye uamuzi sahihi
 

Kama kweli wewe ni Dialo uliyeyaandaka Haya , Nadhani uwezo wako wa kufikiria umefikia kikomo kabsa kwani umedhihilisha Upeo wako ni Zirooo kabsa.
 
Nasisitiza tena Kama kweli Haya yameandikwa na Dialo kuanzia Leo nimemdharau sana kumbe Pale kichwani kwake Hakuna kitu , anahitaji Tiba ya saikologia , huu Uzi wake Umekaa kishabiki na chuki Binafsi hauna jipya zaidi ya kujidhalilisha zaidi , dialo inaelekea bado ana mawazo ya kizamani sana kwa ulimwengu huu wa sasa hana wa kuyaamini asemayo kwani Hana Mfano wa kuigwa kwenye jamii, wananchi siku hizi hawadanganyiki kiwepesi wapo makini watu Kama Dialo watawadanganya wajinga wajinga wachache tu.
 
Katibu Mkuu wa Rais Mzee Luhanjo ndiyo alimfukuza Diallo Uwaziri, halafu anadanganya umma eti na yeye amestaafu kama Mungai..

Dialo Hana Mfano wa kujivunia kiasi cha kutaka watu wamsikilize, Akili zake ni ndogo Kama za captn Komba hana jipya watu watampuuza tu.
 
kama mh. Nasari (MB) alivyosema CCM ni kama ukoo wa PANYA, baba mwizi, mama mwizi, watoto wezi na ndugu wengine. Halafu watz mkiambiwa CCM oyee mnaitikia. acheni ujinga watz CCM tukipige chini 2015
 
Methali ya ALIYELALA USIMWAMSHE ndio itakayoendelea kutumika na wajanja wa nchi hii hadi Yesu atakaporudi.
Jitambue uko upande gani, kamata fursa.
Kumbuka kutumia muda wako vizuri.
Wewe unamsema Dialo au ? Maana hizi fikra za Dialo ni fikra za mtu anayesinzia sinzia, watanzania wengi hawajalala wapo macho na Uongo wa aina wowote ule , wajinga wajinga Ndio watakuwa wamelala wakikurupushwa wanayaamini ya Mzushi mwenzao Dialo.
 
Dialo ana siasa mufilisi,tushamchoka na tunamkimbia kama wafanyakazi wake wanavomfanyia,amwache mr. Prezda EL apumue tafadhali
 
Wewe inaelekea Upeo wako ni mdogo Kama punje ya Ulezi, upo Nchi gani? Kwa haujui Kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais utumishi ndio mwajiri wa Utumishi wa Umma ,mawaziri na watumishi wote wa Serikali wapo kwenye Anga zake. Umemwabudu Dialo mpaka umecopy ujinga pasipo kujiongezea maarifa Binafsi .
 
sasa na wewe ndo umeandika kitu gani???kumbe mamburulaah mko wengi. mi nilifikri unakuja na hoja tofauti kidogo kumbe nawe ni walewale..another piece of shit.
 

Hivi hujiulizi kwanini kila thread ya kumponda lowassa inazungumzia vitu vitatu tu
1.afya ya lowassa
2.ufisadi wa lowassa
3.ugawaji rushwa wa lowassa
Nimejaribu kuunganisha dots tu
 
Dialo ana siasa mufilisi,tushamchoka na tunamkimbia kama wafanyakazi wake wanavomfanyia,amwache mr. Prezda EL apumue tafadhali

Dialo anatafuta Umaarufu kupitia jina la Lowasa baada ya kuona kila anachofanya hatoki , kaamua kusaka Kiki kishamba ngoja wana JF wamchane Live.
 
Hivi hujiulizi kwanini kila thread ya kumponda lowassa inazungumzia vitu vitatu tu
1.afya ya lowassa
2.ufisadi wa lowassa
3.ugawaji rushwa wa lowassa
Nimejaribu kuunganisha dots tu

Na wewe jiulize ni Kwa nini Kati ya wote waliotangaza Nia ni Lowasa tu ndiye anaandamwa ? Najua pengine huna jibu lakini kwa akili ya kuzaliwa naelewa unatambua Kuwa Lowasa ni Tishio kwa wote ndani ya CCM ndio Maana wameamua kumshambulia kwa kila mbinu lakini hawana jipya siku hizi watu hawadanganyiki kiwepesi wapo makini sana, maadui wa lowasa watabwabwaja wee lakini mwisho wa siku watalala ngoma inasonga mbele.
 
Dialo amepiga penyewe, naona team Lowassa povu linawatoka kama vile mmemeza paketi nzima ya Omo!
 
Napenda njia anayotumia Lowasa kupambana na maadui zake! Sijui angekuwa ana ongea kama wao ingekuwaje?

Kaamua kuwaacha wabwabwaje wee ... Wakimaliza anakuja kuwaumbua mmoja baada ya mwingine, wanakesha Lowasa kawakosesha usingizi , mbinu zao zote zinaelekea kikomo kisha Lowasa anakuja na Sanda ya Kuzika Uongo wote.
 
Dialo Hana Mfano wa kujivunia kiasi cha kutaka watu wamsikilize, Akili zake ni ndogo Kama za captn Komba hana jipya watu watampuuza tu.

Tuwekeeni Cv ya Diallo hapa....ccm kuna vituko kweli duuh.
 
Hii Diallo alikuwa anajitetea, tunasubiri ya kumlipua fisadi mkuu Manywele!
 
Dialo ili familia yako iende.elee kuishi salama chini ya hili jua piga magoti mrudie mungu wako kwa dhambi ya kumuua Mabina.
 
Amaaa kweli ivi huyu kasoma kweli ndo nini anamtuhumu mwenzake kwa mambo mazito waka kayasikia kwa watu wa pemben Huyu nae poyoyo kichwan ulojo tu umejaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…